Mahakamani pia hakuna haki

Mahakamani pia hakuna haki

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
kosa limefanyika....na ukweli unafaamika lkn ukifika mahakaman unatafta wakili atakayetetea uovu wako.
kimsingi yy yupo kimaslah lkn hebu nao wawe na huruma.......unakuta wakili anajua ukweli wote .. lkn ansimama kumkandamiza mwenye haki.
hebu kuwen na utu bas....
 
Una maana gani? Mtuhumiwa hana haki ya kusikilizwa?
Kapma ushahidi uko wazi why uwe na mashaka?
 
Back
Top Bottom