Achana na hizi ngonjera za mavuvuzera,nenda kwenye hoja kwakutumia common senseHa ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.
Mkipigwa K.O sasa, Lawama zote kwa Hakimu na Mahakama, hapa Mawakili wenu hamuwasemi Kama ni vilaza.
Kiufupi Mahakama inatenda haki pale Mnaposhinda tu, Mkishindwa nyinyi hamna. Sasa nyie ni nani hadi kila siku mshinde.
Halafu ungekuwa Mjanja ungeweka hiyo Rulling humu na ukatuonyesha ni wapi huyo Hakimu amekiuka sheria, tofauti na hapo wewe nawe utakuwa wale wale!
Mkuu huyo Retired ni kilaza wa.sheria mzee wa makamo inasemekana yupo kwenye taasisi moja hivi alizoea kupiga pesa za taasisi hiyo ya serikali sasa amebanwa na serikali ya awamu ya tano yeye ni kupinga tuuuu!!Ha ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.
Mkipigwa K.O sasa, Lawama zote kwa Hakimu na Mahakama, hapa Mawakili wenu hamuwasemi Kama ni vilaza.
Kiufupi Mahakama inatenda haki pale Mnaposhinda tu, Mkishindwa nyinyi hamna. Sasa nyie ni nani hadi kila siku mshinde.
Halafu ungekuwa Mjanja ungeweka hiyo Rulling humu na ukatuonyesha ni wapi huyo Hakimu amekiuka sheria, tofauti na hapo wewe nawe utakuwa wale wale!
Common sense ipi sasa? Mkuu jenga hoja!Achana na hizi ngonjera za mavuvuzera,nenda kwenye hoja kwakutumia common sense
Common sense ipi sasa? Mkuu jenga hoja!
Mungu mbariki Fatuma KarumeNilikuwa namsikiliza Shangazi bi Fatma Karume aisee... kawavua majoho.
Kwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
Mahakama zenyewe ndizo zinazokili kutotoa hukumu kisheria, zinasema zinashinikizwa kutoa hukumu kwa matakwa ya wanasiasa! Sasa wewe unawakatalia, hatuwezi kukuamini wewe tutawaamini wahusika wenyewe wanaokili mahakama kuingiliwa.Wanasiasa acheni kuitumia mahakama kama kichaka cha siasa zenu uchwara.
Mnalo bunge na majukwaa ya kisiasa. Nendeni huko mkapigane vikumbo.
The court is not a battleground for politics.
Mmeshindwa siasa, mmeamua kuivamia mahakama.
Mara wakurugenzi sijui wamekuaje, mara spika sijui kafanyaje. SIASA TUPU.
Acheni huo upumbafu!
Sent using Jamii Forums mobile app
niwekee clip tafadhaliNilikuwa namsikiliza Shangazi bi Fatma Karume aisee... kawavua majoho.
Fine, sijaweka hukumu lkn hakimu akisema kufutwa umeya hutapata hasara yoyote hapo ni wazi huyu hakimu aidha akili ndogo au amepata maagizo!Ha ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.
Mkipigwa K.O sasa, Lawama zote kwa Hakimu na Mahakama, hapa Mawakili wenu hamuwasemi Kama ni vilaza.
Kiufupi Mahakama inatenda haki pale Mnaposhinda tu, Mkishindwa nyinyi hamna. Sasa nyie ni nani hadi kila siku mshinde.
Halafu ungekuwa Mjanja ungeweka hiyo Rulling humu na ukatuonyesha ni wapi huyo Hakimu amekiuka sheria, tofauti na hapo wewe nawe utakuwa wale wale!
... ...., hakukariki,
sasa nakwambia hivi, and this is shared among the public with a rational mind.The court is not a battleground for politics.
Kujua spelling ndiyo measure ya kusoma!
Ungejitahidi uwe inasoma hukumu badala ya kuwadhalilisha mahakimu,haikusaidiiKwa utawala huu, awamu ya tano, lazima kila mmoja ajitahidi kutimiza beuracratic competition! Kila mmoja (sio wote) anajitahidi kumfurahisha fulani hata kama kuvunja sheria/kutotoa hukumu ya haki etc!
Ya Meya wa DSM ndio matokeo ya hiyo! Ya Kabendera na hakimu huyo huyo!
Labda hii itakutsha kwa leo!Ungejitahidi uwe inasoma hukumu badala ya kuwadhalilisha mahakimu,haikusaidii
Nyie watu mnaposhinda kesi,mnaruka ruka mpaka mnajamba,kuwa mahakama imetenda haki,mkibwagwa tu,nongwa inaanza
Ha ha ha ha ha, Wanaserengeti mnafurahisha Sana.Mkishinda kesi humu ndani hakukariki, mnawasifia Mawakili wenu na kuwaita wale wa Serikali vilaza. Hapa huwezi kusikia Hakimu aliyeamua akisifiwa.