mahakimu wananyanyasika

baby drama

Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
8
Reaction score
0
Yaani pesa imetoka hazina mwez ushaisha, mshahara wameanza kuwekewa jana watu 150 kat ya 300, na cjui ni nini walikuwa wanazifanyia nini sasa??!
 
Yaani pesa imetoka hazina mwez ushaisha, mshahara wameanza kuwekewa jana watu 150 kat ya 300, na cjui ni nini walikuwa wanazifanyia nini sasa??!
Poleni sana, kwa hiyo mnapanga kufanyaje? By the way karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…