baby drama
Member
- Aug 17, 2012
- 8
- 0
Yaani pesa imetoka hazina mwez ushaisha, mshahara wameanza kuwekewa jana watu 150 kat ya 300, na cjui ni nini walikuwa wanazifanyia nini sasa??!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana, kwa hiyo mnapanga kufanyaje? By the way karibu sana jamvini.Yaani pesa imetoka hazina mwez ushaisha, mshahara wameanza kuwekewa jana watu 150 kat ya 300, na cjui ni nini walikuwa wanazifanyia nini sasa??!
Kwa nini??Ha ha ha.. hizo karibu za kinafiki.