Mahala kilipo kituo cha Premier Betting hapa Mwanza

Mahala kilipo kituo cha Premier Betting hapa Mwanza

Jackson jonh

Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
46
Reaction score
7
Kwa yeyote ajuaye mahala kilipo kituo cha premier betting hapa mwanza.pls msaada
 
nenda office za serikari watakuwa wanajua
nahitaj mtu anaefahamu sijaomba kuelekezwa mahala pa kwenda kuuliza.nimeshauliza humu kwenye jukwaa.tena we unaniambia niende office za serikal.hili si jukwaa la jokes
 
nahitaj mtu anaefahamu sijaomba kuelekezwa mahala pa kwenda kuuliza.nimeshauliza humu kwenye jukwaa.tena we unaniambia niende office za serikal.hili si jukwaa la jokes

Zipo sehem nyingi sana mfano Uhuru Dampo kipo jengo la binza
 
Nenda soko kuu hapo town upande wa stand za daladala zitokazo igoma na kuchkua abiria kuelekea Airport; upande wako wa kushoto ukiwa unaangalia geti kuu la sokoni, pinda kushoto nenda mita kama 10, then pinda kulia tena.ambapo utaona.watu wameweka.vitu vyao vya kuuza kwa nje ya soko. Sogea mbele kidogo kama.mita 50 upande wa kushoto utaona jengo limeandikwa Premier Betting. Ndo hapo.
 
Back
Top Bottom