Mahali alipopachagua Mungu kuabudiwa

Mahali alipopachagua Mungu kuabudiwa

goswe

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
4,432
Reaction score
5,036
Mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru. Kweli ni neno la mungu.

MUNGU haabudiwi kila mahali, yeye anautaratibu mmoja. Anachagua sehem ya kuabudiwa. Na wote watakaomuabudu hapo basi watampata na kumuona. ila woote wasiomuabudu hapo hawatakaa wamuone kamwe

Wengi wamekuwa wakienda makanisani wanaimba na kuondoka, nawao wanajua kabisa wameenda kwasababu ni utaratibu kuenda . wanaenda na kurudi kama walivyo.

Sasa hatakama ww uimbe kiasi gani, u hudhurie ibada ngapi kwa wiki, kama hukuijua sehemu aliyoichagua mungu kuabudiwa basi ww ni sawa na mfu, ni sawa na jiwe ama mti

Kumekuwa na wengi wanasema usipojiunga na kanisa letu, ama kama ww si wa kanisa letu umepotea na huendi mbinguni. Mungu kamwe hajawahi kuchagua taasisi ama shirika ilikuabudiwa.watu ndio wamejiwekea madhehebuu hayo. Hata alipokuja yesu kulikuwa na mashirika na taasisi nyingi za kidini na mungu hakuzichagua kuweka jina lake ili watu wamwabudu.

Mungu hakuchagua sehem ambayo wacheza kamari,Malaya walevi,wazizi,wanaudhuria na wana enjoy ibada.

Mungu aliificha sehem yake ya kuabudiwa,na kama hukuwahi kuitambua hujawahi kuwa mkristo

Kanisa langu anasali waziri,ama mkuu wa mkoa io haimaanishi ndio sehem aliyoichagua Mungu.

Kanisa letu ndo linaongoza kujaza watu hapa mjini. Wala hio haimaanishi kitu kwa Mungu.

Mungu hakuchagua sehemu yake ya kuabudiwa iwe sehemu zinazoongozwa kwa akili na taratibu za kibinaadam

Kumbukumbu ya torati 16;2

Nawe umchinjie pasaka Bwana mungu wako,…….. mahali alipopachagua Bwana kuweka jina lake.

yohana 17;11
wala mimi simo tena ulimwenguni,lakini hawa wamo ulimwenguni,nami naja kwako.Baba mtakatifu kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa....
 
Bro kwema,Pole kwa majukumu ya kuifanya dunia kua sehemu sahihi ya bin.Adam kuishi,samahani nilitataraji moja kwa moja niitambue hiyo sehemu sahihi ya kuabudia instead of nawe umeniacha kwenye mataa tena umetumia kitabu kilekile kilichojaa mafumbo kwanini usiachane na fasihi ukatueleza moja kwa moja hilo eneo maalum la kuabudia uenda likawa na tija katika ibada zetu?.
 
Back
Top Bottom