Mahali pa kujifunza kuogelea

Quester

Member
Joined
Feb 25, 2018
Posts
5
Reaction score
4
Habari zenu wanaJF...naomba msaada kujua wapi naweza kujifunza kuogelea kwa dsm maeneo ya sinza au mikocheni.
 
Kwa maeneo ya karibu na sinza nenda pale blue pearl ubungo plaza au KD hotel maeneo ya kijitonyama
 
Kwa maeneo ya karibu na sinza nenda pale blue pearl ubungo plaza au KD hotel maeneo ya kijitonyama
Afu kuna mtu ameniambia sasa ivi kuwa alisikia KD imefungwa pia mwaka jana
 
Afu kuna mtu ameniambia sasa ivi kuwa alisikia KD imefungwa pia mwaka jana

Hata UDSM niliona pool imefungwa,nenda pale round about ya kawe kuna ule mgahawa wa kichina nadhani kuna pool...au regency hotel pale mikocheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…