Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu kuna mtu ameniambia sasa ivi kuwa alisikia KD imefungwa pia mwaka janaKwa maeneo ya karibu na sinza nenda pale blue pearl ubungo plaza au KD hotel maeneo ya kijitonyama
Afu kuna mtu ameniambia sasa ivi kuwa alisikia KD imefungwa pia mwaka jana
Sawa shukranHata UDSM niliona pool imefungwa,nenda pale round about ya kawe kuna ule mgahawa wa kichina nadhani kuna pool...au regency hotel pale mikocheni