Mahama tz

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
402
Awali niliwaambia kuwa timu yetu ikishinda mechi ya Leo nahama Tz, Sasa Niko njiani kuelekea msumbiji , maana Sina imani na mchezo was leo,

Na wewe uliyesema utakunya kuanzia taifa Hadi mwenge tekeleza Hilo.

Asante boko kwa assist nzuri, msuva hujafanya ajizi, ukaitumia vyema nafasi hiyo. Samata umeonesha umwamba Mara baada ya kumnawisha mganda na erasto nyoni, ukapachika kitu kambani, Agree Morris umetendea haki cross ya mnyama Boko ulipojitwisha gozi Hilo na kuwafanya waganda waanze kuhaha.

Lkn hata hivyo msivimbe vichwa, bado Sana, mkienda misri kwa mpira huu tutafumuliwa, Kwanza sio tuta[emoji16] mtafumuliwa vibao vya kutosha.

Honger taifa stars, honger jiwe, nimezinyapia kumbe na wewe ulikuwa unafatilia boli kwa runinga ako.
Wengine siwataji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukifika Msumbiji kafatilie vzr ile misaada yetu tuliyoitoa kwao
 
Nauli unayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu msumbiji kuna kabint kanaitwa idai kamenyakua kama wote, kanakimbia kwa spidi ya 250km/hr so bora uende somalia.
 
Afadhali mmeanza kupata akili.Hama sidhani kama ni hasara.Uncle Tom mmoja atakuwa amepungua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…