Mahamoud Ahmadinejad

Unajua jamaa anaweza kugombea tena akitaka, lakini wanamhofia sana kutokana na misimamo yake.
Binafsi namwelewa sana.
Hawa ndiyo watu walioletwa na Mungu kuwa viongozi. Sasa hivi wala si rais na wala hahitaji ulinzi anapanda train asubuhi kwenda kufundisha university. Amefungua shule yake ya Post Graduate in Engineering.
 
Sasa mama ukiwa mtu wa watu unadhani kuna shida gani? Shida ni roho mbaya na udhalimu unaowafanyia wenzio ndio unakunyima uhuru.
 
Protokali ndio iko hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa alikua ngangari sana, hata alipotaka kugombea tena nilitamani ashinde kwa mara nyingine, anauwezo wa kusimama kidete dhidi ya ubepari, hutuba zake akiwa UN akitetea haki ya taifa lake kutumia nishati ya nyukilia ilikua ni uthubutu wa MTU jasiri anayepaswa kuigwa na viongozi wengine wa nchi kandamizwa na ubepari,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namkubali sana this iranian former president kwa misimamo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…