Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Hawa ndiyo watu walioletwa na Mungu kuwa viongozi. Sasa hivi wala si rais na wala hahitaji ulinzi anapanda train asubuhi kwenda kufundisha university. Amefungua shule yake ya Post Graduate in Engineering.Unajua jamaa anaweza kugombea tena akitaka, lakini wanamhofia sana kutokana na misimamo yake.
Binafsi namwelewa sana.