Mahamoud Ali wa Djibouti ashinda nafasi ya Uenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) dhidi ya Raila Odinga kutoka Kenya

Hapa udini na francophone vimechangia kumuangusha pia unafiki wa SADC..

Raila ndiye mgombea aliyekuwa anafaa zaidi kuliko hao wengine.
 
Huyo mgombea wa Djibouti mbona hakuwa na umaarufu huo wa kumshinda Tata Odinga!!!
Wewe Huwa hufuatilii mambo hayo ndio maana hujui kitu.

RAU ni maarufu huku kwenu sio huko kwingine.

Na Kwa taarifa Yako tuu,pamoja na Rais Samia kumualika kwenye mkutano wa Nishati kama njia ya kumnadi ila mgombea wa Djibouti Ali tweet Kwa Samia akisema anapoteza mda,yeye Mahmood ndio atashinda hiyo nafasi 🤣🤣
 
Masikini RAO..

MK254
 
Raundi ya kwanza

Odinga 20, mgombea wa Djubut 18 na Mgombea wa SADC 10

Round ya pili

Raila Odinga 22, mgombea wa Djubut 19 na Mgombea wa SADC

Unadhani kwanini Raila Odinga amefeli? 🐼
 
Kuna watu watasema yule jamaa wa Rwanda kamfanyia figisu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…