Mwanahakij
Senior Member
- Jul 29, 2009
- 129
- 22
Naona kizunguzungu tu hapa. Sijui naota au!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama ni kweli nawahurumia kondoo wa bwana wanaooingia kanisani kwake; wanamnneemasha yeye tu; Biashara,Siasa na Dini??? vyote vimechanganywa sijui nini hasa
Ni kweli.
Jana nilikuwa nakula Kili bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiid kwenye bar yake maeneo ya Tabata Bima.
Palikuwa pamepooza sana.
Ataisoma.
Miaka mi5 bungeni. Kajenga bar zake tu.
Aiseee kama ni kweli atakuwa amejivunjia heshima sana na hata chama chake. PakaJimy nimeipenda hiyo sehemu niliyoboldKwa series ya malalamiko ya wasimamizi na mawakala dhidi yake tokea jana hili linawezekana kabisa!...Kama ni kweli, tapeli mwingine atakuwa ametapishwa hirizi!...Bravo!
Nimeambiwa na kada wa Ccm pale magomeni kuwa siku ya uchaguzi uyu makongoro alilala polisi na kwa kubambwa na box la kula akienda kuchakachua. Pia yule padre wa kike mch.Getrud rwakatale alibambwa na box la kura!