Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe?

Mahanjamu ya chuchu...wayajua wewe?

haahaha haki ya mungu,, sasa ruta umewaza nn?wala sina la kusema ila nimeshacheka sanaaa mahanjamu mm siyajui ..

wahidi acha soooooooooooooooooooooooo....................wanaiambia maishani hujawahi kung'atwa chuchu?
 
Nimeipenda hii; mkeo ana bahati!

Kaunga umeamkaje leo?....................Je umeng'atwa usiku wa leo au bado......
[MENTION]@Kaunga[/MENTION]
 
Rutashubanyuma;
debito usikhofu jamii itakukomaza tu....

ama kweli hapa nitakomaa kabla ya muda,maana mmh!
 
kweli Belinda, kunyonya au kutomasa chuchu/matiti kunahitaji utaalam, yaani ukipata mjuzi anakunyonya mpaka unahisi uko peponi. kuna wanaofikicha chuchu kama wanatafuta frequecy ya radio station inaumaje...lol!:mad2:

Sashel...............practice makes perfect.......yabidi umweleze unavyojisikia naye ataendana na mapigo ya mwili wako.......
[MENTION]@Sashel[/MENTION]
 
Nimeamka vema; mng'ataji hayupo bwana, nimekumbatia mto tu; usiku wote! Poor me....... LOL

Ungekuwa hujashikwa na kushikamana........ningekupa jawabu lake lakini naona umekamilika...................LOL[MENTION]@Kaunga[/MENTION]
 
Mimi hapa leo napita tu, kwani mengi kama sio
yote yameshasemwa, nikiyarudia nitayapotezea
utamu. Kitu kimoja nikiri, nimescheka sana na
nimejifunza mengi.Kuna wanaopaka mawese,
asali, wanaong'ata wakatiwa konzi,wanaoiba lishe
ya watoto. Saa6, saa 12.... Waliotafuna punje za
mchele, wafundaji na wafundwaji...yote hayo na
mengine mengi...katika mahanjamu ya chuchu.

Nilikuwa nimefunga lakini nitakujalipa. Nakimbilia
kwa Mammahamsini nikahanjamue chuchu.

Ruta Mkuu, na wachangiaji wote, you made my day!

MAMAMMIA......chuchu tamu kama utaalamu wake unao............
 
..... kweli nimeshiKA na nikashiKAMANA kwani hilo jawabu linahusu ku-un-shikamana????

Kaunga aliyeshiba haambiwi karibu mlo.....................ungelikuwa mkiwa hivi ningekutonya kitu fulani lakini wewe u raha mustarehe........[MENTION]@Kaunga[/MENTION]
 
Haya bwana, again l give up!
BTW wewe umeng'ata alfajiri ya leo?

Kaunga mimi nimejituliza kama kasuku nikisubiria wewe na mwandani wako mkisha kuchokana na kupeana migongo niingie kiuzimauzima na kuchukua nafasi yangu kwako..................hapo ndipo utajua makali yangu ya kung'ata chuchu zako na hutaniacha hata kama sina vijisenti.......LOL[MENTION]Kaunga[/MENTION]
 
Najua sana mkuu....

Ila nlikuwa sijui kama blakiwomani ni mgonwa wa haya mambo. Ntalifanyia kazi.....

Ahsante kwa hii kamba. Nimewajua wagonjwa wa kung'atwa manyonyo....lolz

Asprin anzia kwa BlakiWomani khalafu unipashe khabari........[MENTION]@BlakiWomani, Asprin[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Vijana wetu mnatuangusha jamani.... kuna kanuni moja tu kwenye hili: angalia mwitikio wa mwanamke wakati unatekeleza haki yako kama mwanamme - ukiona hataki utumie muda mrefu huko unamboa!

kumbe na wazee mnazungukia na huku! Nilijua unaishiaga sebuleni kule jukwaa la siasa.
 
yaani mtoto wako ananyonya hilohilo na mume tena humohumo,mmmh kazi ipo hapo

sanasana mtoto ananyonya kwa miaka miwili lakini baba mpaka siku akiingia kaburini ni la kwake na mama lazima anyonyeshe tu kwani baba naye sasa awa mtoto wa kulelewa vilivyo............
 
Back
Top Bottom