Maharage bora yanapatikana – Tsh. 2,800 kwa kilo (Kuanzia Kg 20), Tupo Mbezi Louis

Maharage bora yanapatikana – Tsh. 2,800 kwa kilo (Kuanzia Kg 20), Tupo Mbezi Louis

dmketo

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
646
Reaction score
1,064
Je, unatafuta maharage safi yenye ubora wa hali ya juu kwa matumizi ya nyumbani au biashara?

Tunauza maharage bora kwa bei nzuri ya TSh 2,800 kwa kilo, kwa ununuzi wa kuanzia kilo 20 na kuendelea. Kwa sasa tuna maharage ya njano na soya, lakini ukitaka rose coco na mengine tunaweza kukuletea kwa oda.

Maharage yetu ni masafi, yamesafishwa vizuri na yenye ubora.
• Yanapatikana kwa oda za kilo 20 hadi tani kadhaa.
• Bei nzuri kwa wanunuzi wa jumla na rejareja.
• Yanafaa kwa maduka ya vyakula, mama lishe, migahawa, shule, taasisi na wasambazaji.

Bei: TSh 2,800 kwa kilo (kuanzia kg 20).

Tunapatikana Mbezi Luis, Mbezi Makabe na Msakuzi.
Kwa maelezo zaidi, oda au ushirikiano wa biashara, tafadhali wasiliana kupitia: 📞 Simu/WhatsApp: [0652 010202]
Karibu tufanye biashara pamoja.
IMG-20260624-WA0041.jpg
IMG-20260718-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom