Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

Maharage Chande, TANESCO wanakata sana umeme wilaya ya Chunya, mkoa wa Mbeya

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu bado TANESCO mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya Chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa CCM.

Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande, kuwa ana mbinu Za kuing’oa CCM madarakani huko wilaya ya Chunya na haswa mbeya mjini Jimbo la Spika wa bunge la JMT.

Mito na mabwawa zimejaa maji chunya hakuna umeme ni mgao.

Cc: January Makamba
 
Kwa Hali ya maisha ilivyo ngumu Bado Tanesco mkoa wa Mbeya, wanazima umeme kila siku wilaya ya chunya bila kujali kuna watanzania wala bila kujali ni Jimbo lilliloko mikononi mwa ccm.

Katika hali ya kushangaza wananchi wameamua kumjulisha Maharage Chande , kuwa ana mbinu Za kuing’oa ccm madarakani huko wilaya ya chunya.

Cc: January makamba
Maharage aje akujibu

USSR
 
Back
Top Bottom