Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Na mitandao ya simu waanze kudai gharama za minaraAcheni ujuwa nyie hakn kitu Kam hcho elf 27000 kuunganisha umeme siyo sawa hata kijij kule Ni nafuu tu ndio wamepewa
Yaani ungwanishwe umme mtu kwa 27000
Hpn nimefanya Kaz tanesco
Elf 27000 Ni kwa vijij tu Tena zile ambazo haijawai kupat umme toka taifa hili kuzaliwa
Elf 27 ulipe fundi
Uweke gar mafuta
Uwekewe mita
Uwekewe waya
Duh shrika litakufa kifo kibaya kuwahi kutokea
Kama bwawa la nyerere litamalizika. Bas anaglau tanesco wapunguze bei za uniti na siyo garma za kuunganishwa
Kwa hiyo hoja yako ni nini? Kwani hayo unayoyasema Tanesco haifanyi?[emoji116]
View attachment 2129275
Vipi usipotumia huo umeme?
Ukinunua tv ya 1000,000/ na kuunganishiwa umeme kwa 27k Ni upuuzi kutumia kigezo hicho. Nikinunua tv inakuwa Mali yangu moja kwa moja,ukiniunganishia umeme nikagharamia nguzo,hizo nguzo bado ni mali ya Tanesco na nitaendelea kulipia umeme pasipo kupata exemption ya muda fulani kufidia nguzo nilizogharamia. Huyo mkurugenzi hoja yake ni mfu. Wanamdanganya Rais na kumchonganisha na wananchi.Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!
Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?
Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?
Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.
Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Acheni ujuwa nyie hakn kitu Kam hcho elf 27000 kuunganisha umeme siyo sawa hata kijij kule Ni nafuu tu ndio wamepewa
Yaani ungwanishwe umme mtu kwa 27000
Hpn nimefanya Kaz tanesco
Elf 27000 Ni kwa vijij tu Tena zile ambazo haijawai kupat umme toka taifa hili kuzaliwa
Elf 27 ulipe fundi
Uweke gar mafuta
Uwekewe mita
Uwekewe waya
Duh shrika litakufa kifo kibaya kuwahi kutokea
Kama bwawa la nyerere litamalizika. Bas anaglau tanesco wapunguze bei za uniti na siyo garma za kuunganishwa
Mkuu, hakuna hasara yeyote kwa shirika. Nchi nyingi watu hata hawajui hizo bei za nguzo kwa kuwa ni sehemu ya huduma za kampuni. Yaani unaponunua kiwanja unakuta tayari kuna umeme na maji. Wewe gharama yako ni kuunginishiwa tu kutoka barabarani kuja nyumbani kwako. Miji mingi kwa sasa hata tu Africa hasa nchi za kusini wanatoa manguzo ya umeme mitaani. Umeme unapitishwa underground. Manguzo na manyaya kukatishakatisha mabarabara yanachafua miji tu. Sasa kama Tanesco wakiamua kupitisha umeme undeground kama nchi za wenzetu ina maana watadai mteja achimbe mtaro wa kupitisha hizo nyaya?Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Rais Samia, Waziri Makamba, DG Maharage, pamoja na wewe, mnajisahaulisha kitu kimoja kikubwa!Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Sasa ulitaka aseme nn kipindi hicho?Hilo swali muulize Samia mwenyewe kigeugeu, enzi za mwendazake alisema 27000 ndio mpango mzima, leo kakamata ofisu yeye anasema 27000 ni usanii haitoshi
[emoji122][emoji122][emoji122]Rais Samia, Waziri Makamba, DG Maharage, pamoja na wewe, mnajisahaulisha kitu kimoja kikubwa!
Tanesco haijawahi, kwa pesa zake, kuanzisha au kujenga chanzo chochote cha Umeme.
Tanesco ni sawa na Shirika la Ndege ATC.
Ndege zinanunuliwa na Serikali, ATC wanashindwa kuziendesha.
Tanesco ni hivyo hivyo.
Watanzania tunaichangia REA kila siku kwenye bei ya Petroli na Diesel, Mabilioni ya Pesa kila siku, kwa nini Wananchi wasiunganishiwe umeme kwa pesa hizo zinazotoka kwenye Mafuta?
Au hazifiki zinakotakiwa kwenda?
Watanzania wamejenga Mtera, Nyumba ya Mungu, Kidatu, Kihansi, Kinyerezi, Somanga, na Mitambo yote inayozalisha umeme, kwa nini Tanesco ishindwe kuingiza umeme majumbani na kukusanya hela mpaka iseme inapata hasara?
Maharage aliwahi kusema Tanesco inapoteza kiasi cha Shilingi Bilioni 15 kwa siku, kiasi cha kuleta Wahindi kwa Bilioni kadhaa kuangalia Mifumo. Huko ndiko kunakostahili kuangaliwa ili kuokoa upotevu.
Tanesco haistahili kuendelea kuwaumiza Watanzania ambao ndio wanaolipa Kodi kuisimika Tanesco.
Inaenda Rea sio tanescoIle 3% ya REA ambayo Huwa inakatwa kwa wateja ni kwa ajili gani.....!
Kama tunarudi kwenye gharama halisi makato hayo yakibaki ni wizi mwingine kwa watanzania.
Line unapewa bure au unalipia?Nimesikiliza huyu mkurugenzi nikabaki nimeduwaa. Hivi concept ya serikali kusambaza umeme ikoje? Nilidhani kwamba gharama za kuunganisha zingekuwa as minimum as possible ili waunganishe wateja wengi halafu fedha zirudi kwa kuuza units za umeme. Ndiyo maana makampuni ya simu yanatafuta yenyewe fedha kwa ajili ya infrastructure installation (kuweka minara na vituo kadhaa then returns zao wanazipata kutoka kwa wateja kupitia airtime, msg na miamala.
Kwasababu vikiharibika hutalipa tena tanesco watawajibika kukuletea vingine bureeeeeKwaninimtu analipia ili kuunganishiwa umeme lakini vifaa vinakuwa Mali ya TANESCO?
Ogopa sana matamko ya kisiasa kwenye mambo ya msingi!!toka lini mwanasiasa akapanga bei ya umeme?ule ulikuwa mzuka tu, na ndio maana imeondolewa ki mzuka pia!!Hilo swali muulize Samia mwenyewe kigeugeu, enzi za mwendazake alisema 27000 ndio mpango mzima, leo kakamata ofisu yeye anasema 27000 ni usanii haitoshi
Kwa bei hizi za tzs 100 kwa unit?Kwani kazi ya Tanesco ni kuunganisha umeme? Kazi yao ni kuuza umeme! Waambieni waunganishe bure halafu wauze kwa fauda umeme wao, FINITO!
Hoja yako ni ya kijinga sana! Unaposafiri kwa chombo cha umma nauli yako inagharimia bei ya hicho chombo na gharama za uendeshaji au ni michango ya abiria wengine tena kwa muda mrefu!Kwahiyo wewe usiye maharage unaamini kuna umeme wa 27,000/=!
Tupe mchanganuo wa huo umeme kuanzia generation mpaka distribution ili tuone.
Hiyo bei ni ya kuwa saidia wale wanaoishi vijijini yaani subsidized cost!!Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Fool mkubwa wewe chuki zinakusumbua,I test my caseWewe ni maharage kweli kweli, hasa hapo unaprove hoja gani?
TANESCO kulialia eti hasara ni kiinimacho, and only fools fall under that nonsense…. kama wanataka faida wawekeze kwa kusambazia umeme wateja wengi.
Hatutumii umeme wao BURE.
I can’t argue anymore.