Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

Maharage Chande: Tuache kupeana maneno tamutamu; bei ya Tsh 27,000/= haitoshi kuunganisha umeme

N
Acheni ujuwa nyie hakn kitu Kam hcho elf 27000 kuunganisha umeme siyo sawa hata kijij kule Ni nafuu tu ndio wamepewa
Yaani ungwanishwe umme mtu kwa 27000
Hpn nimefanya Kaz tanesco
Elf 27000 Ni kwa vijij tu Tena zile ambazo haijawai kupat umme toka taifa hili kuzaliwa

Elf 27 ulipe fundi
Uweke gar mafuta
Uwekewe mita
Uwekewe waya

Duh shrika litakufa kifo kibaya kuwahi kutokea
Kama bwawa la nyerere litamalizika. Bas anaglau tanesco wapunguze bei za uniti na siyo garma za kuunganishwa
Na mitandao ya simu waanze kudai gharama za minara
 
Kwa hiyo hoja yako ni nini? Kwani hayo unayoyasema Tanesco haifanyi?[emoji116]

View attachment 2129275

Wewe ni maharage kweli kweli, hasa hapo unaprove hoja gani?

TANESCO kulialia eti hasara ni kiinimacho, and only fools fall under that nonsense…. kama wanataka faida wawekeze kwa kusambazia umeme wateja wengi.

Hatutumii umeme wao BURE.

I can’t argue anymore.
 
Leo tarehe 23.02.2022 mkurugenzi wa TANESCO, MAHARAGE CHANDE ameongea na vyombo vya habari kwa kueleza umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27, 000/= tuache kupeana maneno matamu matamu katika kuendesha shirika hilo. Amesema ni vigumu sana kutofautisha mjini na vijijini kwani wote wanahitaji huduma hiyo kitu ambacho inasababisha shirika hilo kujiendesha kwa hasara kubwa!

Aidha kwa maoni yangu waziri wa nishati na Naibu wake je wakati wakiwasilisha taarifa mbalimbali za utendaji wa shirika hilo hawakai na wataalamu wakaambiwa kuhusu bei hizo za kuunganishiwa umeme?

Kutokana na kauli hizo kati ya waziri na mkurugenzi wa Tanesco ni kauli zipi ambazo umma utakuja kuziamini kutokana na mkanga'nyiko huo ambao hauleweki wa umeme wa tsh 27,000/=?

Ni hatari sana kwa mkurugenzi wa Tanesco kuambia umma kuwa unawezaje kununua tv ya sh 1,000,000/= halafu uhitaji umeme wa tsh 27000/= akumbuke kuwa hii nchi ni ya kwetu sote hata hivyo kutokana na nyakati tulizopo tulihitaji umeme wa gharama ya chini na siyo kukatisha tamaa umma kuwa hakuna umeme wa tsh 27,000/=.

Kwa hali hiyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ana kila sababu kufatilia kwa karibu utendaji wa shiraka hilo na Wizara ya Nishati kwa ujumla kwani tayari wananchi wameshaanza kutokuwa na imani na watendaji wa Tanesco na wizara husika.
Ukinunua tv ya 1000,000/ na kuunganishiwa umeme kwa 27k Ni upuuzi kutumia kigezo hicho. Nikinunua tv inakuwa Mali yangu moja kwa moja,ukiniunganishia umeme nikagharamia nguzo,hizo nguzo bado ni mali ya Tanesco na nitaendelea kulipia umeme pasipo kupata exemption ya muda fulani kufidia nguzo nilizogharamia. Huyo mkurugenzi hoja yake ni mfu. Wanamdanganya Rais na kumchonganisha na wananchi.
 
Acheni ujuwa nyie hakn kitu Kam hcho elf 27000 kuunganisha umeme siyo sawa hata kijij kule Ni nafuu tu ndio wamepewa
Yaani ungwanishwe umme mtu kwa 27000
Hpn nimefanya Kaz tanesco
Elf 27000 Ni kwa vijij tu Tena zile ambazo haijawai kupat umme toka taifa hili kuzaliwa

Elf 27 ulipe fundi
Uweke gar mafuta
Uwekewe mita
Uwekewe waya

Duh shrika litakufa kifo kibaya kuwahi kutokea
Kama bwawa la nyerere litamalizika. Bas anaglau tanesco wapunguze bei za uniti na siyo garma za kuunganishwa

Kama unakiri 27k haitoshi mbona unasema kwa vijijini ni sawa?

Katika nchi yako, mjini na vijijini wapi kuna watu wengi?

Nyumba za vijijini ziko mbali mbali, nyumba moja hadi nyingine ni mita kadhaa…. kuunganisha unahitaji nguzo nyingi na nyaya ndefu.
 
Maharage Kande kazi imemshinda.Aondolewe tu hapo Tanesco.

Energy sector ni kama health na education sector.Sio sector za kibiashara ni huduma.Kama kweli wanataka kushusha au kupandisha bei za umeme basi waruhusu private sectors nao watoe huduma ya kusambaza na kuzalisha umeme.
 
Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Mkuu, hakuna hasara yeyote kwa shirika. Nchi nyingi watu hata hawajui hizo bei za nguzo kwa kuwa ni sehemu ya huduma za kampuni. Yaani unaponunua kiwanja unakuta tayari kuna umeme na maji. Wewe gharama yako ni kuunginishiwa tu kutoka barabarani kuja nyumbani kwako. Miji mingi kwa sasa hata tu Africa hasa nchi za kusini wanatoa manguzo ya umeme mitaani. Umeme unapitishwa underground. Manguzo na manyaya kukatishakatisha mabarabara yanachafua miji tu. Sasa kama Tanesco wakiamua kupitisha umeme undeground kama nchi za wenzetu ina maana watadai mteja achimbe mtaro wa kupitisha hizo nyaya?

Yaani wanachofanya Tanesco ni sawa na Vodacom kusema kama watu wa let say Sinza wanataka huduma ya simu basi walipie gharama za antena kwenye hilo eneo. Hiyo umeiona wapi? Wao kama kampuni walitakiwa wapeleke umeme kila mahali labda kwa wale ambao wako mbali na wamejitenga. Charges zao zinatakiwa kuwa za kuunganisha umeme tu kutoka kwenye nguzo kuja nyumbani kwako. Hizo gharama za nguzo zitakuwa recovered na bill za umeme za kila mwezi overtime.

Tujiulize kidogo, faida wanayoipata Tanesco kwa mteja moja kwa miaka 10 ni sawa na nguzo ngapi? Wanachotakiwa kufanya hawa Tanesco siyo lazima warudishe hela yao siku hiyo hiyo kwa kila huduma wanayoitoa. Kila mteja wanayemuunganishia umeme wanauhakika atalipia hiyo huduma kwa miaka mingi ijayo (> 30 years) hivyo ni pesa nyingi wanategemea kuipata kwa kila mteja. Hata kwenye biashara ndogo tu faida haiji siku moja baada ya kuifungua.
 
Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Rais Samia, Waziri Makamba, DG Maharage, pamoja na wewe, mnajisahaulisha kitu kimoja kikubwa!
Tanesco haijawahi, kwa pesa zake, kuanzisha au kujenga chanzo chochote cha Umeme.
Tanesco ni sawa na Shirika la Ndege ATC.
Ndege zinanunuliwa na Serikali, ATC wanashindwa kuziendesha.
Tanesco ni hivyo hivyo.
Watanzania tunaichangia REA kila siku kwenye bei ya Petroli na Diesel, Mabilioni ya Pesa kila siku, kwa nini Wananchi wasiunganishiwe umeme kwa pesa hizo zinazotoka kwenye Mafuta?
Au hazifiki zinakotakiwa kwenda?
Watanzania wamejenga Mtera, Nyumba ya Mungu, Kidatu, Kihansi, Kinyerezi, Somanga, na Mitambo yote inayozalisha umeme, kwa nini Tanesco ishindwe kuingiza umeme majumbani na kukusanya hela mpaka iseme inapata hasara?
Maharage aliwahi kusema Tanesco inapoteza kiasi cha Shilingi Bilioni 15 kwa siku, kiasi cha kuleta Wahindi kwa Bilioni kadhaa kuangalia Mifumo. Huko ndiko kunakostahili kuangaliwa ili kuokoa upotevu.
Tanesco haistahili kuendelea kuwaumiza Watanzania ambao ndio wanaolipa Kodi kuisimika Tanesco.
 
[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Nimesikiliza huyu mkurugenzi nikabaki nimeduwaa. Hivi concept ya serikali kusambaza umeme ikoje? Nilidhani kwamba gharama za kuunganisha zingekuwa as minimum as possible ili waunganishe wateja wengi halafu fedha zirudi kwa kuuza units za umeme. Ndiyo maana makampuni ya simu yanatafuta yenyewe fedha kwa ajili ya infrastructure installation (kuweka minara na vituo kadhaa then returns zao wanazipata kutoka kwa wateja kupitia airtime, msg na miamala.
Line unapewa bure au unalipia?
 
Hilo swali muulize Samia mwenyewe kigeugeu, enzi za mwendazake alisema 27000 ndio mpango mzima, leo kakamata ofisu yeye anasema 27000 ni usanii haitoshi
Ogopa sana matamko ya kisiasa kwenye mambo ya msingi!!toka lini mwanasiasa akapanga bei ya umeme?ule ulikuwa mzuka tu, na ndio maana imeondolewa ki mzuka pia!!
 
Kwahiyo wewe usiye maharage unaamini kuna umeme wa 27,000/=!

Tupe mchanganuo wa huo umeme kuanzia generation mpaka distribution ili tuone.
Hoja yako ni ya kijinga sana! Unaposafiri kwa chombo cha umma nauli yako inagharimia bei ya hicho chombo na gharama za uendeshaji au ni michango ya abiria wengine tena kwa muda mrefu!
 
Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Hiyo bei ni ya kuwa saidia wale wanaoishi vijijini yaani subsidized cost!!
Hayo maharage na Makamba wake yanatakiwa kujua hayo!
 
Wewe ni maharage kweli kweli, hasa hapo unaprove hoja gani?

TANESCO kulialia eti hasara ni kiinimacho, and only fools fall under that nonsense…. kama wanataka faida wawekeze kwa kusambazia umeme wateja wengi.

Hatutumii umeme wao BURE.

I can’t argue anymore.
Fool mkubwa wewe chuki zinakusumbua,I test my case

Screenshot_20220222-100231.jpg
 
Back
Top Bottom