Tena wanaunganishwa bila kulipia nguzo ili mradi wako jirani na nguzo ulizolipia.Mkuu Mundaliku uko poa kabisa, mbaya na kichekesho ni kwamba unalipia nguzo 2 na unawalipa ths. 600, 000/- na zaidi alafu (then) nguzo hizo wanakuambia sio zako bali ni za TANESCO na wanaanza kuzitumia kwa kuwaunganishia wengine wakati nguzo hizo nimenunua mimi, sasa hapo nani anaibiwa au ANADHURUMIWA?
Faida kubwa ya Tanesco inatakiwa iwe Wakati wa kuuza umeme kwa mteja. Kuweka Bei kubwa ya kuvuta umeme, ni kulimit idadi ya wateja hence Mapato yanayotokana na kuuza umeme.Naomba majibu haya :-
Nguzo ni mali ya nani?
Luku / Mita ni mali ya nani?
Tanesco ni Profit au Business oriented?
Je hawajui kwamba pesa watakusanya zaidi wakiwa na wateja wengi zaidi ?. Umeme sio kama mchele unachota kadri unavyotaka ukiwa na megawatts za kutosha (unazalisha inabidi zitumike) unless otherwise hakuna sababu ya kuongeza ma-Megawatt ya kutosha iwapo mahitaji sio makubwa hivyo.
Tukimaliza Bwawa la Nyerere (if ever....) hizo Megawatt tutazitumia wapi?
tofauti ya kufunga umeme kijijini na mjini ni ipi??? kwanini kijijini iwe 27,000/= alafu mjini wagome???Kwahiyo wewe usiye maharage unaamini kuna umeme wa 27,000/=!
Tupe mchanganuo wa huo umeme kuanzia generation mpaka distribution ili tuone.
Umeandika vizuri.Sijui kwa nini Watanzania mnaelezwa ila hamuelewi. Kuweka umeme nyumbani kwa mtu/mtumiaji ni uwekezaji wa TANESCO. Ni kuisaidia Tanesco kuwekeza kwenye biashara yake ya kuuza umeme; ili mtumiaji aweze kununua nishati na kuiingizia TANESCO mapato. Sasa hoja ya kusema tzs elfu 27 inatoka wapi wakati Tanesco inasaidiwa kuwekeza? Hizo elfu 27 ni mchango wa mwananchi/mtumiaji anayeweka umeme wa Tanesco nyumbani kwake. Kwa nini Tanesco ione mchngo hautoshi wakati ni uwekezaji wake (Tanesco)? Kwa nini Tanesco isiende kwenye soko la mitaji (DSE) kupata mtaji wa kutosha kusambaza (kuwekeza) umeme nchi nzima? Hoja ya Maharage imekaa kimaharage kweli. Ni mipasho tu. Sijui mzaramo huyu ndugu?!
Mkuu nawe umelibaini hilo? Ndio maana tunamashakaTena wanaunganishwa bila kulipia nguzo ili mradi wako jirani na nguzo ulizolipia.
Kama POMBE. Alikuwa anadanganya wajinga wenzake na leo wanaamini kwamba ati kuunganisha umeme ni 27000 tu.
mkuu vijijini ni 27000Mkuu tunaye mwongelea alipe 27, 000/- watu wa vijijini. Vitu ulivyo taja pamoja na bei zake wao hawana uwezo huo, sanasana tv inchi 14 ya 50 - 70, 000/- simu ya 10 - 12, 000/- hizo harusi kwa asilimia 90% - 99% ni MKEKA TU.
Mkuu ni kweli vijijini ni bei hiyo, ukweli ni kwamba utapata huduma (kuunganishiwa) kama nguzo haitahusika vinginevyo watakutaka uandika barua ukiwaomba ukalipie kwa sh 300000/-.mkuu vijijini ni 27000
Waliopanga hiyo bei awali walikua kina nani?Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika
Wakati wanapanga hiyo bei awali hawakuona kua haitoshi?Kwahiyo wewe usiye maharage unaamini kuna umeme wa 27,000/=!
Tupe mchanganuo wa huo umeme kuanzia generation mpaka distribution ili tuone.
Huyu toka wafanye tukio mahali fulani wakishirikiana na msela wake mafuru ndio nikajua kwamba hawa ni wasaliti.
Tanzania inapigwa sana. Poleni wanyonge
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Siyo mpaka 2030?πππMpaka ikifika 2025 utakuwa umeshachoka ku-copy hayo maandishi ya wengine.
We ni auditor wa tanesco?Ila kiuhalisia hiyo bei ni hasara kwa shirika