Maharage Chande Unaangamiza Morali ya wafanyakazi NBC

Maharage Chande Unaangamiza Morali ya wafanyakazi NBC

Maharage Chande amenyang'anya nafasi za parking kwa wafanyakazi wa ngazi za chini wa benki ya NBC.Kuanzia sasa nafasi zilizokuwa wanapaki wafanyakazi hao zitakuwa zikitumiwa kwa ajili ya kukodisha wafanyabiashara wakubwa.
Mandondo Makande wanyooshe tu hao marojorojo wa NBC wanachafua parking ya NBC kwa vimikweche vyao
 
Hivi huyu si yule alikuwa mkuu wa itifaki kipindi cha mkwele.
 
Ubaya wake nini? nyie si mnatakiwa kuhudumia wateja sasa mteja analeta bizinesi hana pa kupak....i wewe umepaki mkweche wako siku nzima....mteja akihamia benki nyingine je...safi sana bwana mabinzi...
Dah mkuu kitambo sana. Umeporea wapi? Rudi jamvini mkuu. Hope everything is going well with you.
 
Ndio huyu kala uteuzi?
IMG-20210925-WA0025.jpg
 
Back
Top Bottom