Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

Serikalini kumejaa madudu Mengi,uvivu,ubadhirifu,mijitu inataka ilipwe bila kufanya kazi,watumishi wa serikali huwa wanaona wao kuwa kwenye hizo nafasi ni hisani kwa nchi na wananchi,tunataka tuwaambie wao ndio wanahitaji serikali na umma kuliko sie wananchi tunavyowahitaji,
Sasa tunawapa watu kutoka sekta binafsi wawachape bakora mtoke usingizini muache kujiona kama kufanya kazi mnaifanyia favour nchi,tupo watu millioni 65!!watumishi serikalini kuanzia Ikulu,taasisi zote mpaka vijijini hawafiki milioni Tano!?so who needs the other more!?!??
 

Pay- for- Performance, kama ni nzuri ama ni mbaya, haipo kwenye mfumo wa utumishi wa umma.

Unaachaje kujua kwamba serikalini kuna long-settled Salary Scale System ?

He sounded like an idiot!

Kubadilisha mfumo wa mishahara ya taasisi za umma ni agenda ya Taifa, sio ya TANESCO

Pale hakuwa na la kusema kuhusu TANESCO. Inabidi wamfundishe kazi, taratibu na tamaduni za utumishi wa umma.

He is way out of his depth. Ameajiriwa kishkaji na swahiba ake January Makamba (cryonism). Samia Suluhu from Kiembe Samaki does not know Maharage Chande from a hole in a wall.

Kama alivyosema Polepole, genge la waendesha nchi limemfanya Rais mwanasesere.
 
Hapo alipoongelea Pay for perfomance nadhani anaongelea kwa mtumishi mmoja mmoja,yaani utalipwa kutokana na ufanisi wako,na sio mshahara,hii ni aina ya allowance inayolipwa nje ya mshahara.Ukifuatilia kuna baadhi ya mashirika ya nchi za jirani yamefuata huu mfumo yakafanikiwa sana...
 
Nchi za jirani wapi ?

Hapa Tanzania hatuna hicho kitu.

Maharage ameonyesha wazi he is a dear in the head light.

He will be a project. Inabidi waanze kumfundisha elementary basics of public service administration.

Halafu waje ya TANESCO. Waste of time.
 

kajinyonge sasa,wewe ulieingia serekalini ndo unahaki kuliko wenzako raia watanzania....pathetic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…