Maharage Chande wa TANESCO ameingiaje utumishi wa umma akiwa na umri zaidi ya miaka 45?

I used to think January is smart but he ain't!!?

Katembelee jimboni kwake hakuna la maana alilofanya Kwanza wanadai huwa haendi wakati uchaguzi tu.

Naona amekula matapishi yake kwa maajar duuh!!

January amefeli kabla hajaanza
 
Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Hawa watu wa serikalini wamejibinafsishia kila kitu as if bila wao nchi haitakuwepo
 
Kwani mkurugenzi aliyeondoka aliingia Tanesco akiwa na umri gani?
Tumeona watu hawajawahi kua class monitors lkn wakaleta matokeo chanya. Unamkumbuka Prof. Luhanga VC UDSM?
Acheni hizo. Maharage piga kazi. Prove them wrong.
anayeondoka alikiwa lecturee na mkuu wa idara ya electrical engineer wa udism..undism ni taasis ya serikali
 
Mawazo mazuri mama D. Najaribu kuwaza tu hivi yule Idris Rashid alipokwenda pale kuwa MD alikuwa hajatimiza miaka 45 au vipi? Na yeye vile vile alitokea huko kwenye mabenki ambako hawana masihara na utendaji.

Tuwape nafasi watendaji kutoka sekta binafsi ili watukimbize huku serikalini, labda tutaamka na utendaji wetu wa kazi.
Idris Rashid alitoka BOT.
 
T
Tulishasema pre-frebruary ameamua kukimbia wakati wengine wanatembea!! Anatengeneza fursa nyingi za kupiga!! Anaamini shamba la bibi limerudi na hategemei kuna mtu atamkemea!
thats right… hakuna wa kuwakema wakina January, wameona Rais anajiita Mama, hatishi, na hajali, wanaweza kufanya chochote wanachotaka, wanafanya michezo na maisha ya watu masikini wa kutupwa

Unamrudishaji Mama Majar, Nehemia Mchechu na Ephraim Kafuru kwenye system ??

Mkurugenzi wa DSTV Maharage Chande unampaje aifufue TANESCO ?

halafu unasema as a minister hutaki kuulizwa kuhusu TANESCO… TANESCO ni shirika la UMMA, nyote mnawajibika, Rais, Maharage, na WEWE!

Jirekebishe haraka, kuwa na busara, Rais kuwa dhaifu isikupe motisha ya kufanya mambo ya hovyo.
 
Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?

Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.

Matokeo ya cronyism ndio haya: Chande hana background au experience ya utumishi wa umma, wala kazi za shirika la nishati wala shirika la fani yeyote lenye ukubwa na ugumu wa uendeshaji kama TANESCO. Ametokea DSTV na kabla ya hapo Vodacom.

Kituko cha kwanza cha Chande alikitoa kwenye hotuba yake ya utambulisho mbele ya hadhara, waandishi, wateule wenzie wapya pamoja na Waziri.

Akasema anataka PAY-FOR-PERFOMANCE, mfumo wa ulipaji kulingana na ufanisi kiutendaji. Toka lini kwenye public sector mtu analipwa tofauti na salary scale yake ??? Huyu jamaa hana clue na mifumo ya ujira za utumishi wa umma. Speech yake ya kwanza anatueleza ndoto za Alinacha za jinsi watakavyolipana badala ya matatizo ya upatikanaji umeme wa uhakika.

Tunaomba January Makamba ujali na uwe serious na kazi yako. Tunajua huna sana uchungu na wananchi na kuhuwahi kusota kupata kazi hizi kwa vile ulibebwa na majina ya baba zako Yusufu (nepotism) na Jakaya (cronyism), na siku zote vyeo vimekuwa vikikujia, kuondoka na kurudi kirahisi rahisi. Jisafishe, tunaomba uanze kujali.
Makamba na akina nape Ni watupu kichwani, wamebebwa na kuwaheshimu baba zao, mbeleko za baba zao na Wala si professionalism waliyonayo.
 
Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Ana vision gani?
 
Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ?

Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio umempa upendeleo huu ? Makamba ndio amepeleka jina kwa Rais. Rais hamjui Maharage.

Matokeo ya cronyism ndio haya: Chande hana background au experience ya utumishi wa umma, wala kazi za shirika la nishati wala shirika la fani yeyote lenye ukubwa na ugumu wa uendeshaji kama TANESCO. Ametokea DSTV na kabla ya hapo Vodacom.

Kituko cha kwanza cha Chande alikitoa kwenye hotuba yake ya utambulisho mbele ya hadhara, waandishi, wateule wenzie wapya pamoja na Waziri.

Akasema anataka PAY-FOR-PERFOMANCE, mfumo wa ulipaji kulingana na ufanisi kiutendaji. Toka lini kwenye public sector mtu analipwa tofauti na salary scale yake ??? Huyu jamaa hana clue na mifumo ya ujira za utumishi wa umma. Speech yake ya kwanza anatueleza ndoto za Alinacha za jinsi watakavyolipana badala ya matatizo ya upatikanaji umeme wa uhakika.

Tunaomba January Makamba ujali na uwe serious na kazi yako. Tunajua huna sana uchungu na wananchi na kuhuwahi kusota kupata kazi hizi kwa vile ulibebwa na majina ya baba zako Yusufu (nepotism) na Jakaya (cronyism), na siku zote vyeo vimekuwa vikikujia, kuondoka na kurudi kirahisi rahisi. Jisafishe, tunaomba uanze kujali.

Maharage Chande​

3rd degree connection3rd
Regional Managing Director(East and West Africa) at MultiChoice Africa

  • MultiChoice Africa​

  • University of South Africa/Universiteit van Suid-Afrika​

Tanzania

For the past 20 years I have acquired experiences from Information and Communication Technology, Telecommunications and Banking industries both in management and technical levels. For nearly 4 years I have served in the management of the National Bank of Commerce as Chief Operating Officer (COO), 6 years in Vodacom Tanzania Limited as the Managing Executive of Data, IT & Value Added Service and the rest with Standard Chartered Bank as the Country Head of Information Technology, through these tenures I have acquired unparalleled experiences in successful running large organisations which are leading in their respective industries.

I possess rare mix of skills-sets available in the market today that is strong technology Skills & Experience together with strong business transformation and leadership acumen, which are necessary ingredients in managing Key Business Performance Indicators (KPIs), relationship between Management, Board of Directors and Shareholders, moreover building sound Organisation Strategy that can realise value to stakeholders.

I have Bachelor of Science in Electronic and Communication (UDSM) and Masters in Business Leadership (Focus: Advance Corporate Financial Strategy) (University of South Africa) and various technical and management certifications.

Experience​

  • MultiChoice Africa

    Company NameMultiChoice Africa​

    Total Duration5 yrs 5 mos​

    • TitleRegional Managing Director(East and West Africa) Multichoice​

      Dates EmployedMay 2018 – Present​

      Employment Duration3 yrs 6 mos​

      Manage a portfolio of 39 countries in West Africa(excl. Nigeria) and East Africa. Oversee staff, and
      Financials for the Multichoice Operations in the countries. Manage multiple boards, shareholders,
      regulators and stakeholders.

      Overseeing Sales, Customer Value management(CVM) and Customer Experience strategies,
      planning and execution.
    • TitleManaging Director(Tanzania)​

      Dates EmployedJun 2016 – Jun 2018​

      Employment Duration2 yrs 1 mo​

      LocationTanzania, Dar es salaam​

      Manage Multichoice Tanzania business which includes managing people, commercials(CVM, Marketing, Sales and Service). In addition, management of key stakeholders which are regulators, shareholders and the board of directors.

      Notable achievement 100% growth of business in 2 years.…see more
  • President's Delivery Bureau(PDB)

    United Republic of Tanzania, President's Office, Director: Corporate Services​

    Company Name
    President's Delivery Bureau(PDB)

    Dates EmployedApr 2014 – Apr 2016​

    Employment Duration2 yrs 1 mo​

    LocationDar es salaam, Tanzania​

    President Delivery Bureau (PDB) is charged with implementation of country's high priority projects in Education, Water, Agriculture, Energy, Transport and Resource Mobilisation. As a Director for Corporate Service and among the founding members of the bureau I am in charge of Human Resources, Finance, Budgeting, Accounting, Procurement and Information Technology function.
  • National Bank of Commerce a member of Barclay Africa Group

    Chief Operating Officer​

    Company Name
    National Bank of Commerce a member of Barclay Africa Group

    Dates EmployedOct 2010 – Apr 2014​

    Employment Duration3 yrs 7 mos​

    LocationTanzania​

    Managing a banking operations ranging from traditional core banking, IT, Security, Procurement, Programme Office, Digital Channels, Branch Operations, Card, and Properties and Premisses.
  • Vodacom Tanzania

    Managing executive: IT, Data & Value Added service​

    Company Name
    Vodacom Tanzania

    Dates EmployedMar 2004 – Oct 2010​

    Employment Duration6 yrs 8 mos​

    I managed People, Processes & Technology on strategis and operation level for IT Team(Traditional Corporate IT), Data Team(GGSN/SGSN & IPMPLS core), and Value Added Services(WAP,MMSC,USSD II GW,Vodamail etc,) in Total I have got about 63 staffs.

    Notable achievement: Launched first WiMax network, 3G and M - PESA, in addition built a great team of staff.…see more
  • Standardchartered Bank

    Company NameStandardchartered Bank​

    Total Duration4 yrs​

    • TitleCountry Head of Information Technology​

      Dates EmployedApr 2001 – Mar 2004​

      Employment Duration3 yrs​

      Running the IT shop for Standardchartered bank, manage people, technology and process.

      Dates Employed2000 – 2004​

      Employment Duration4 yrs​

      Managing IT operations inclusing process, technology and people, in compliance to popular frameworks such as ITIL and CoBIT

Education​

  • University of South Africa/Universiteit van Suid-Afrika

    University of South Africa/Universiteit van Suid-Afrika​

    Degree NameMBL
    Field Of StudyBusiness Leadership
    Dates attended or expected graduation2005 – 2008
  • University of Dar es Salaam (UDSM)

    University of Dar es Salaam (UDSM)​

    Degree NameElectronics and Communication
    Field Of StudyMathematics,Informatics & Physics
    Dates attended or expected graduation1996 – 1999
 
Maharage Chande
3rd degree connection3rd
Regional Managing Director(East and West Africa) at MultiChoice Africa
Tanzania

For the past 20 years I have acquired experiences from Information and Communication Technology, Telecommunications and Banking industries both in management and technical levels. For nearly 4 years I have served in the management of the National Bank of Commerce as Chief Operating Officer (COO), 6 years in Vodacom Tanzania Limited as the Managing Executive of Data, IT & Value Added Service and the rest with Standard Chartered Bank as the Country Head of Information Technology, through these tenures I have acquired unparalleled experiences in successful running large organisations which are leading in their respective industries.

I possess rare mix of skills-sets available in the market today that is strong technology Skills & Experience together with strong business transformation and leadership acumen, which are necessary ingredients in managing Key Business Performance Indicators (KPIs), relationship between Management, Board of Directors and Shareholders, moreover building sound Organisation Strategy that can realise value to stakeholders.

I have Bachelor of Science in Electronic and Communication (UDSM) and Masters in Business Leadership (Focus: Advance Corporate Financial Strategy) (University of South Africa) and various technical and management certifications.

Experience​

  • MultiChoice Africa

    Company NameMultiChoice Africa​

    Total Duration5 yrs 5 mos​

    • TitleRegional Managing Director(East and West Africa) Multichoice​

      Dates EmployedMay 2018 – Present​

      Employment Duration3 yrs 6 mos​

      Manage a portfolio of 39 countries in West Africa(excl. Nigeria) and East Africa. Oversee staff, and
      Financials for the Multichoice Operations in the countries. Manage multiple boards, shareholders,
      regulators and stakeholders.

      Overseeing Sales, Customer Value management(CVM) and Customer Experience strategies,
      planning and execution.
    • TitleManaging Director(Tanzania)​

      Dates EmployedJun 2016 – Jun 2018​

      Employment Duration2 yrs 1 mo​

      LocationTanzania, Dar es salaam​

      Manage Multichoice Tanzania business which includes managing people, commercials(CVM, Marketing, Sales and Service). In addition, management of key stakeholders which are regulators, shareholders and the board of directors.

      Notable achievement 100% growth of business in 2 years.…see more
  • View attachment 1959111

    United Republic of Tanzania, President's Office, Director: Corporate Services​

    Company Name
    President's Delivery Bureau(PDB)

    Dates EmployedApr 2014 – Apr 2016​

    Employment Duration2 yrs 1 mo​

    LocationDar es salaam, Tanzania​

    President Delivery Bureau (PDB) is charged with implementation of country's high priority projects in Education, Water, Agriculture, Energy, Transport and Resource Mobilisation. As a Director for Corporate Service and among the founding members of the bureau I am in charge of Human Resources, Finance, Budgeting, Accounting, Procurement and Information Technology function.
  • View attachment 1959112

    Chief Operating Officer​

    Company Name
    National Bank of Commerce a member of Barclay Africa Group

    Dates EmployedOct 2010 – Apr 2014​

    Employment Duration3 yrs 7 mos​

    LocationTanzania​

    Managing a banking operations ranging from traditional core banking, IT, Security, Procurement, Programme Office, Digital Channels, Branch Operations, Card, and Properties and Premisses.
  • Vodacom Tanzania

    Managing executive: IT, Data & Value Added service​

    Company Name
    Vodacom Tanzania

    Dates EmployedMar 2004 – Oct 2010​

    Employment Duration6 yrs 8 mos​

    I managed People, Processes & Technology on strategis and operation level for IT Team(Traditional Corporate IT), Data Team(GGSN/SGSN & IPMPLS core), and Value Added Services(WAP,MMSC,USSD II GW,Vodamail etc,) in Total I have got about 63 staffs.

    Notable achievement: Launched first WiMax network, 3G and M - PESA, in addition built a great team of staff.…see more
  • Standardchartered Bank

    Company NameStandardchartered Bank​

    Total Duration4 yrs​

    • TitleCountry Head of Information Technology​

      Dates EmployedApr 2001 – Mar 2004​

      Employment Duration3 yrs​

      Running the IT shop for Standardchartered bank, manage people, technology and process.
    • TitleCountry Head of Information Technology​

      Dates Employed2000 – 2004​

      Employment Duration4 yrs​

      Managing IT operations inclusing process, technology and people, in compliance to popular frameworks such as ITIL and CoBIT

Education​

Umeingiaje kwenye utumishi wa umma wakati ushazidi miaka 45 ????
 
Majungu, Wivu na Husda vinakusumbua. Acha Maharage afanye kazi. Pelekea majungu Bibi yako.
 
Umeingiaje kwenye utumishi wa umma wakati ushazidi miaka 45 ????
tuonyeshe wapi imeandikwa

3.3 Wasioruhusiwa Kuajiriwa katika Utumishi wa Umma Kanuni ya 17 ya Kanuni za Utumishi wa Umma za mwaka 2003 huainisha watu wasioruhusiwa kuajiriwa katika Utumishi wa Umma. Watu hao ni:-
 Mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa kwa kosa la jinai linalohusu upotofu wa kimaadili au rushwa.
 Mtumishi ambaye tayari amefukuzwa kazi katika Utumishi wa Umma.
 Mtumishi aliyestaafishwa kazi kwa manufaa ya Umma.
 Asiyekuwa na sifa zilizopo kwenye muundo wa utumishi wa mtumishi husika.
 Aliyethibitika kuwa hana akili timamu na,
 Asiye raia wa Tanzania.
 
Attachments

Jamaa anaponzwa na jina lake how on earth mtu anaitwa beans hahaaaaa , mbona jiwe aliteua watu wengi kutoka private wengine kuwa RAS DED etc hamkusema
 
Apewe tu muda
Tanesco wamewekwa ma engineer,maprofessor wote wamechemka
Kufanya kazi kwa mazoea,mara kwenda kunywa chai,simu inaita huipokei kisa tu muda wa lunch,hayo yanakwenda kwisha huko Tanesco
 
Kweli hakuwahi kuwa mtumishi wa umma ,ila aliwahi kuwa COO NBC bank na huku serikalini kumeoza kunahitaji watu wenye energy na vision kutoka private sector ,age sio tatizo kwa level ya cheo chake.
Mbona Bashiru aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na wakati anazaidi ya miaka 50 na hakuwa mtumishi wa umma?
 
Wafanyakazi wa TANESCO wampe ushirikiano Kiongozi wao( na apewe benefit of doubt), ataleta mabadiliko chanya ya Shirika.
Ni kweli wafanyakazi wa TANESCO wawe wanafanya kazi kwa kujipangia na kutimiza malengo.
Mwajiri awawezesha wafanyakazi, vifaa na vitendea kazi ili upimaji uwe halisia na wa haki ili kuepusha manung'uniko ya watumishi na hujuma kwa taasisi.
 
Back
Top Bottom