Hii simulizi sijui nimeielewa kwa ufasaha!Nipo njia panda!!
ya kwenda wapi na wapi?
Hii simulizi sijui nimeielewa kwa ufasaha!Nipo njia panda!!
kumbeeeeeeeeeeeeeeee.......................huna maaaaaaaana hiyo...................basi nimeingi mkengeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Nakumbuka mitaa ya maendeleo mbele kidogo ya airport! Nimepamissssssssssssssssssssss!!!!!!!!!
Yale yanayoliwa kwa staili yake spesho lol...
Mentor unamaanisha yale maharage ya mbeya ya kuliwa au yale mengine?
nilishafikiria mtoto wa kiume lakini sikutaka kumuelewa Mentor vibayaThink mtoto wa kike thinkkkkkk....
Maharage yote yanaliwa hata chuzi lake lanywewa, ila yale ya Mbeya yafaa hata pasipo nazi wala kitunguu...
Hata ukipata kitunguu basi wakizamisha kama kilivyo, pasi kusahau ingiza chunguni wako mwiko kwa mbwembwe kukoroga...
si ndo maana nikauliza na wewe....Hakuwa na maana hiyoooo
si ndo maana nikauliza na wewe....
Heaven on earth puliziiii msaidie dadayo, naona hii siredi iko changanya kabisa medulla oblongata yake...teh teh!!!