Maharage Hayakomolewi...Kisa cha Maharage ya Mbeya!

Maharage Hayakomolewi...Kisa cha Maharage ya Mbeya!

Uncle wangu kipenzi Mentor heshima yako....BAADAE NTARUDI MAANA NIMETOKA KAPA
 
Last edited by a moderator:
mwallu na Kaizer (shemejii) get a room...
mimi49 maana yangu ni hayo hayo maharage, mengine, ila ya Mbeya sasa....
watu8 nimekoma kula vya watu...kibua nakiona chungu.
queen kam ankali wangu karibu ila ukija tena, njoo kimya kimya ma@bazazi yasikusikie
 
Last edited by a moderator:
Kumbeeeeeeeeeeeeeeee.......................huna maaaaaaaana hiyo...................basi nimeingi mkengeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
nakumbuka mitaa ya maendeleo mbele kidogo ya airport! NIMEPAMISSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!
 
Mentor hayo maharage ya mbeya uliyala siku ngapi!!!!!!!!

mbona yamekufanya uwakinai Kibua wako kwa haraka sana!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
kumbeeeeeeeeeeeeeeee.......................huna maaaaaaaana hiyo...................basi nimeingi mkengeeeeeeeeeeeeeee!!!!!
Nakumbuka mitaa ya maendeleo mbele kidogo ya airport! Nimepamissssssssssssssssssssss!!!!!!!!!

samahani, naomba nikuulize kitu
 

Mentor
unamaanisha yale maharage ya mbeya ya kuliwa au yale mengine?

Think mtoto wa kike thinkkkkkk....

Maharage yote yanaliwa hata chuzi lake lanywewa, ila yale ya Mbeya yafaa hata pasipo nazi wala kitunguu...

Hata ukipata kitunguu basi wakizamisha kama kilivyo, pasi kusahau ingiza chunguni wako mwiko kwa mbwembwe kukoroga...
 
Think mtoto wa kike thinkkkkkk....

Maharage yote yanaliwa hata chuzi lake lanywewa, ila yale ya Mbeya yafaa hata pasipo nazi wala kitunguu...

Hata ukipata kitunguu basi wakizamisha kama kilivyo, pasi kusahau ingiza chunguni wako mwiko kwa mbwembwe kukoroga...
nilishafikiria mtoto wa kiume lakini sikutaka kumuelewa Mentor vibaya
 
Last edited by a moderator:
Heaven on earth puliziiii msaidie dadayo, naona hii siredi iko changanya kabisa medulla oblongata yake...teh teh!!!

hahaaaa hata pale ulipomwambia athink....bado hajaelewewa au ndo ame sink zaidi........

afanye favour ya google basi ......nakumbuka ike siku lol!!!!!!

mimi49 mpenzi bado haujaelewa tu nikusaidie kukuelewesha.......
 
Back
Top Bottom