Maharage meusi na faida zake

Maharage meusi na faida zake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1077152

Maharage meusi ni chakula maarufu huko Latin America. Niliyaona dukani na kuyanunua. Baada ya kuyachemsha nilikuta mafuta yametanda juu.

Yana virutubisho vingi ikiwa ni calories, iron, magnesium, potassium na protein.

Huchukua muda mrefu kuiva. Ni rahisi kuyapika kwa pressure cooker. Ladha pia ni nzuri.
 
View attachment 1077152

Maharage meusi ni chakula maarufu huko Latin America. Niliyaona dukani na kuyanunua. Baada ya kuyachemsha nilikuta mafuta yametanda juu.

Yana virutubisho vingi ikiwa ni calories, iron, magnesium, potassium.

Huchukua muda mrefu kuiva. Ni rahisi kuyapika kwa pressure cooker. Ladha pia ni nzuri.
yanafaa kwa ubwabwa haya au ndizi?
 
Haya ndiyo kwa kiswahili tunayaitaje? Mchuzi wake ni mweusi hadi uumwage.
 
Back
Top Bottom