Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha yake ni kuiva na mkaaa hata ikiwa siku nzima basi yanakuwa na ladha kushinda pressure cooker, ni matam sana hasa kipindi wengine tukiwa kwenye swaumu na uji tukishushiaNi matamu sana jibu lake hapo si fahamu lakini kama huyajui unaweza kuyaacha ni meusi kama mkaa.
Yanavimba lakini kilo moja ni nyingi sana, mie ninapenda sana kwa mkaa hasaa wenyewe wanaweka usiku saa 5 mpk asubuh wanayacheki tena kuyamwaga maji halaf mpk saa 7 mambo tyr hahhahaKama unapika kwa mkaa weka debe kwa kilo moja 😂
Ni kweli, Mimi nikiwa home Saturday nina yainjika saa 12:00 asubuhi. Mpaka saa nne yameiva. Ninachemsha mengi mengine Nina ya freeze.Yanavimba lakini kilo moja ni nyingi sana, mie ninapenda sana kwa mkaa hasaa wenyewe wanaweka usiku saa 5 mpk asubuh wanayacheki tena kuyamwaga maji halaf mpk saa 7 mambo tyr hahhaha
Kumbe siyo kama maharage ya mbeya, maji mara moja!!!View attachment 1077152
Maharage meusi ni chakula maarufu huko Latin America. Niliyaona dukani na kuyanunua. Baada ya kuyachemsha nilikuta mafuta yametanda juu.
Yana virutubisho vingi ikiwa ni calories, iron, magnesium, potassium na protein.
Huchukua muda mrefu kuiva. Ni rahisi kuyapika kwa pressure cooker. Ladha pia ni nzuri.
Na hili ndiyo lilikuwa lengo lake!!! [emoji16][emoji16]Za kiume ama [emoji3][emoji3]
Poa.Hapana haya yanahitaji nyimbo kwanza
Kuna madhara kupika maharage kwa kuyaweka kwa chupa...?Ni kweli, Mimi nikiwa home Saturday nina yainjika saa 12:00 asubuhi. Mpaka saa nne yameiva. Ninachemsha mengi mengine Nina ya freeze.
Kwa virutubisho hivyo itakuwa ndio hivyoAu ndiyo maana Latin Americans wana high level of child birth?
Haswaaaa hahahahahaNa hili ndiyo lilikuwa lengo lake!!! [emoji16][emoji16]