Maharage meusi na faida zake

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Maharage meusi ni chakula maarufu huko Latin America. Niliyaona dukani na kuyanunua. Baada ya kuyachemsha nilikuta mafuta yametanda juu.

Yana virutubisho vingi ikiwa ni calories, iron, magnesium, potassium na protein.

Huchukua muda mrefu kuiva. Ni rahisi kuyapika kwa pressure cooker. Ladha pia ni nzuri.
 
yanafaa kwa ubwabwa haya au ndizi?
 
Dah...nilijua labda "inasaidiasaidia" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ni mazuri kwa afya, mtoto akila haya si rahisi kupata utapia mlo, sijui ulitaka yasaidie nini tena mkuu.
 
Haya ndiyo kwa kiswahili tunayaitaje? Mchuzi wake ni mweusi hadi uumwage.
 
Haya ndiyo kwa kiswahili tunayaitaje? Mchuzi wake ni mweusi hadi uumwage.
Mchuzi ni mweusi kaka, siku ya kwanza kuuona nilifikiri nimeunguza πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…