Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uko dar nenda soko la kariakoo ,, hapo utanunua kwa tani yakomimi naomba kujua mbegu ya mahindi ya bisi zinapatikana wapi na ni maeneo gani ambayo mahindi haya yanastawi au ni kama tu haya mabindi ya kawaida.mtu mwenye uwelewa mpana khusu zao hili tunaomba msaada wake
Soko lake ni kubwa sana kuliko unavyofikilia kinachotakiwa yawe kwenye quality nzuri.Bei ya mahindi ya bisi kubwa mara kumi ya mahindi ya kawaidaMaindi ya bisi soko lake si kubwa sana kama unavyolifikiria maana hivi vitu vimekaa kimsimu msimu. kuhusu maharage, uzuri wa maharage unategemea na eneo ulilopo, kwa huku niliko yanapendelewa maharage ya goroli (hulimwa arusha) wengine ya soya
Mkuu naomba kujua haya mahindi hulimwa kama mahindi ya kawaidaSoko lake ni kubwa sana kuliko unavyofikilia kinachotakiwa yawe kwenye quality nzuri.Bei ya mahindi ya bisi kubwa mara kumi ya mahindi ya kawaida