Maharagwe na dengu

Maharagwe na dengu

faby

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,214
Reaction score
767
Habari, mimi mgeni hapa natumai mtanikaribisha vizuri! Nataka kujua bei ya kununua dengu na maharagwe nikihaitaji kwa uwingi mfano tani 30 ya maharagwe nitaipataje ki urahisi? Mashambani au? Kipindi gani nitapata kwa uwingi? Bei yake kwa kilo? Nk. natanguliza shukrani.
 
Malila upo wapi unisaidie
 
uko wapi? na unataka maharage ya aina gani? NI PM maana ninayo
 
Habari, mimi mgeni hapa natumai mtanikaribisha vizuri! Nataka kujua bei ya kununua dengu na maharagwe nikihaitaji kwa uwingi mfano tani 30 ya maharagwe nitaipataje ki urahisi? Mashambani au? Kipindi gani nitapata kwa uwingi? Bei yake kwa kilo? Nk. natanguliza shukrani

Yapo maharage ya mbeya amabapo per kilo ni Tzs1500, kilo 500 zaweza kupatikana na zipo mbeya, pia kama unahitaji mpunga wa kilombero utapatikanika kwa pale kilombero.
 
Yapo maharage ya mbeya amabapo per kilo ni Tzs1500, kilo 500 zaweza kupatikana na zipo mbeya, pia kama unahitaji mpunga wa kilombero utapatikanika kwa pale kilombero.

Hayo ya Mbeya naweza kupata kwa uwingi sana?
 
Maharage yapo kiasi unachotaka. Kama uko serious nipe namba tuongee
 
Back
Top Bottom