faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 767
Habari, mimi mgeni hapa natumai mtanikaribisha vizuri! Nataka kujua bei ya kununua dengu na maharagwe nikihaitaji kwa uwingi mfano tani 30 ya maharagwe nitaipataje ki urahisi? Mashambani au? Kipindi gani nitapata kwa uwingi? Bei yake kwa kilo? Nk. natanguliza shukrani.