Malila upo wapi unisaidie
Habari, mimi mgeni hapa natumai mtanikaribisha vizuri! Nataka kujua bei ya kununua dengu na maharagwe nikihaitaji kwa uwingi mfano tani 30 ya maharagwe nitaipataje ki urahisi? Mashambani au? Kipindi gani nitapata kwa uwingi? Bei yake kwa kilo? Nk. natanguliza shukrani
kama unataka kujibiwa na malila peke yake mtumie pm tu inatosha.
Hayo ya mbeya naweza kupata kwa uwingi sana?