Mahari kubwa yamkosesha mke

Hivi kikawaida mshenga akipeleka barua ukweni huwa inabidi kuwe na kiasi kikubwa hivo cha pesa au inategemea na tamaduni na jamii ya watu fulani, naona hapo pesa nyingi mno imepelekwa kabla hata ya mahali kutajwa. Au pia inategemea na dini. Maana upande wetu waislamu barua ni elfu 20 tu au ukipenda unaweza kuongeza kidogo.

Hapa binti ananambia nijitahidi niweke hata laki kwenye barua siku ya kuipeleka naona kabsa utakuwa mtego huu wa kutajiwa mahali kubwa.
 
Ukienda na afu20 Babu watakurudisha na hela yako yaan usijaribu siku hizi wanataka kuanzia na afu50 umekosa sana 45 yaan hicho ndio kima cha chini ndio unaenda kujieleza usikilizwe
 
Ukienda na afu20 Babu watakurudisha na hela yako yaan usijaribu siku hizi wanataka kuanzia na afu50 umekosa sana 45 yaan hicho ndio kima cha chini ndio unaenda kujieleza usikilizwe
Ila kweli usemacho 20 ndogo sana labda 50. Ila hapo jamaa inaonekana kwenda ukweni tu laki 5 wengine hiyo ndo kianzio cha mahali baada ya hapo maisha mengine yanaendelea
 
Binti kachuma janga, atakula na wa kwao.
Shenzi kabisa...kama asemavyo Leonardo wa Cheka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…