Mahari kubwa yamkosesha mke

Waone nini bhana hao wazazi? Ni wahuni tu, mtoto amesoma mpaka ana kazi yake amepata mchumba amempeleka kwao, unafikri yeye hajaviona vyote kwa huyo kijana? Hawa ndo aina ya wazazi wanaoharibu maisha ya watoto wao kwa kujifanya wajuaji.
Hata binti naye hafai, binti ana nafasi kubwa kushauri wazazi
 
Bro nadhani mwamba sio kilaza kwenye mahusiano lazma atakuwa na several alternatives
 
Hiyo mbona hatari sana
 
Kuna shemeji yenu kaniambia niandae Juzuu TU na tasbihi, ndo mahari yake. [emoji3][emoji3]
 
Andaa mademu zako watatu, then anza kufanya utaratibu , mmoja akizingua hakikisha hupotezi time, nenda kwa mwingine chap.

NB: KUSUDI LA MUNGU KUUMBA WANAWAKE WENGI KULIKO WANAUME LAZIMA LIHESHIMIWE.
 
Hata binti naye hafai, binti ana nafasi kubwa kushauri wazazi
Sahihi kabisa.
Sema wazazi wengine hujifanya vichwa maji.Binti ndie anajua uwezo.wa mtu.wake na si uwezo tu bali pia wao wenyewe wanakuwa wana.mipango.yao kuwa pesa isiishie tu mahari

Binti ana mchango mkubwa kwenye hilo
 
Zitakua ndio zile pisi za kishua... Mwamba ameyakanyaga
 
Sahihi kabisa.
Sema wazazi wengine hujifanya vichwa maji.Binti ndie anajua uwezo.wa mtu.wake na si uwezo tu bali pia wao wenyewe wanakuwa wana.mipango.yao kuwa pesa isiishie tu mahari

Binti ana mchango mkubwa kwenye hilo
Kipimo cha mke bora huanza kujionyesha hapa, ukiona binti anajali zaidi mambo ya kwao kuliko ya kwako pamoja naye ujue hilo ni bomu.

Binti mwema na akupendaye daima atakuwa upande wako.
 
Hu upuuzi Wa mahari kama kukomoana.Dogo achapee mbususu afu ampige mimba then aowee kwingine
 
Bahati sio mim. Hilo swala lingeisha toka kwenye kuombana hela ya kusikilizana kwan mwanamke ni yeye pekee ake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kwanza mahari ikizidi 500k huo ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…