Mahari kubwa yamkosesha mke

Ng'ombe kwa 250k kila mmoja ndio Bei. Mana unaweza ukanunua cows wadogo Saba ukaweka kubwa mbili na mmoja aliyekwisha zaa. Hao wa laki nne Ni wakubwa mno nadhani. Hata ndama waliyeachishwa wanachukua ishu Ni ng'ombe. Ila hata ng'ombe btwn 6-8-10 ndio mahari iliyoko saivi.
Walioa miaka ya 1970s waliolea ng'ombe 40-60 baba angua alimuoa mama kwa ng'ombe 45 I think so. Mie nimeoa kwa ng'ombe 10 ,Kuna mdogo wangu akatoa 11 unapewa mke kabisa Ni wako utakufa utazikana naye. Mkikosana naye anaenda kuishi kwenu ,hata kwa ndugu yako Ila kwao kule harusi Mana tayari ameshafanyiwa send OFF so no point of return. Ameamua mifupa yake iwe ya Koo yako. Mana hata huku kwetu ama kwenu mnakosana.
 
Hongera sana asee
 
Dini Gani hiyo ambayo unadhani kila mtu anaiamini? Hizo Dini unazozifanyia reference ni Mila na tamaduni za waliokuletea hiyo Dini. Hutaki kutoa mahari oa hapo kwenye familia yenu kama zilivyo Mila za kiarabu ambazo wewe unadhani ndo Dini yenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…