Mlamba asali
JF-Expert Member
- Dec 11, 2022
- 1,152
- 2,270
Piga chini au TIA MIMBA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hikiKama kipi kwa mfano
Hongera sana aseeMimi nimeenda kwa wakwe juzi kulipa mahari nimepangiwa jumla milioni moja na laki moja vitu vyote ila binti kaniambia nilipe laki nane tu na nililipa siku iyo iyo na binti ni msomi na ni muajiriwa serikali na mimi nipo serikalini pia hivo binti yuko upande wangu hapindui kabisa
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Dini Gani hiyo ambayo unadhani kila mtu anaiamini? Hizo Dini unazozifanyia reference ni Mila na tamaduni za waliokuletea hiyo Dini. Hutaki kutoa mahari oa hapo kwenye familia yenu kama zilivyo Mila za kiarabu ambazo wewe unadhani ndo Dini yenyewe.Mahari ni nini?
Kwenye dini, mahari ni zawadi anayopewa binti na mumewe mtarajiwa, zawadi hii inatajwa n mwanamke mwenyewe.
Ni kama vile ahsante yake kwa kukubalia kumuoa,
Ni Umemuomba umuoe, kakubali, sasa ndio unamuomba akutajie zawadi ya kumpa kwa kukubali ombi lako, nae anakutajia(hiyo ndio mahari)
anaekupenda hakukomoi