Mahari kubwa yamkosesha mke

Mahari kubwa yamkosesha mke

Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.

Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.

Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.

Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.

Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.

Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.

Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.

Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.

Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.

Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.

Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.

Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.

Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emo
Misimamo mikali ya aina hii hata ukiwa na uwezo wa kulipa mahari ujue hiyo familia itakuendesha! La kushangaza binti anafungamana na ndugu! Huyu akufai kijana! Piga chini! Mimi wakati wa ujana wangu nilikuwa natafuta mwenza atakayekuwa upande wangu no matter what! Sio naolewa kwao na binti
 
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.

Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.

Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.

Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.

Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.

Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.

Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.

Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.

Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.

Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.

Kijana akasema sawa ngoja nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.

Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.

Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Hyo ni mara moja Kwa wakurya hatar tupu , mabinti Wana umbo matata Ila Sura miyeyusho
 
Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
.
Kama alitest mitambo sijui kama watamrudishia ...wataitwa mashangazi kupima
 
Mahari ni nini?

Kwenye dini, mahari ni zawadi anayopewa binti na mumewe mtarajiwa, zawadi hii inatajwa n mwanamke mwenyewe.

Ni kama vile ahsante yake kwa kukubalia kumuoa,
Ni Umemuomba umuoe, kakubali, sasa ndio unamuomba akutajie zawadi ya kumpa kwa kukubali ombi lako, nae anakutajia(hiyo ndio mahari)
anaekupenda hakukomoi
Mahari kibongobongo hazifuati dini za wahusika bali mila za kabila na ukoo huo.
 
chamaana mpige mimba ya mapacha mbona hyo laki tano watarudisha watakuomba ukae na binti yao bure
 
Ni kijana mwenzangu sekta ya afya, mwaka huu mwanzoni aliamua kwenda kutoa posa kwa binti ambaye alipanga aanzishe naye familia.

Binti mwajiriwa wa serikali na asili yao ni kanda ya ziwa ila wanaishi na familia katika moja mikoa wa Pwani.

Mshenga alitumwa pamoja na baadhi ya wanafamilia wa kijana.

Kijana aliaandaa milioni 2 mfukoni siku hiyo ambayo alishika mjomba wake .
Kusikilizwa laki 2 , kishika uchumba laki 3 , wakatoa cash.

Mahari ikatajwa ng'ombe 10 @400,000/- jumla mil 4 na vitu vingine milioni 1, jumla ya mahari milioni 5 itolewe yote kwa pamoja bila kuacha deni.

Mshenga akabembeleza pale ila wapi. Wakajibiwa kwa mila za kwao kupunguza mahari ni dharau , hilo Jambo haliwezekani.

Basi ule msafara wake ukarudi bila muafaka.

Kabla ya hapo Kijana alipanga na mchumba wake kuwa mahari itakuwa milioni 2.5 so yeye alijua akitoa milioni 2 akibakisha deni la laki 5, kama tunavyooambiana mtaani mahari haimaliziwi.

Kijana akamtafuta yule binti akamuuliza vp mbona mambo yameenda ndivyo sivyo, alipanga 2.5 wametajiwa 5.

Binti akamjibu kuwa yeye yupo na ndugu zake lazima mila ifuatwe.

Kijana akasema sawa ngoja" nikajipange tena nitarudi nikikamilisha.

Ila septemba hii jamaa ananimbia anafikiria kughairi lile swala lake.

Mimi nikamwambia hakikisha ili lak 5 yako unarudishiwa [emoji23][emoji23][emoji23] .
Jamaa ampige huyo mdada kibendi halafu ndiyo awaambie wazazi wa huyo binti "kaeni na mtoto wenu atawafaa uzeeni"
 
Back
Top Bottom