Babu zetuWakina nani waliseti huu mchongo?
Ukristo hauna sheria ya mahari iweje ama apewe nani ?
Bali ni mila ama traditional za muolewaji ndizo zinaongoza utaratibu wa mahari
Ndio maana mkristo mpare analipiwa mahari kwa utaratibu ulio tofauti na mkristo mkurya ama mkristo mhaya
Labda sababu kwa waislamu kuna option ya kuachana ( Talaka ) lakini kwa christians option hiyo hamna kwa ni kama unauza bidhaa jumla jumlaSasa kwa nini unakuta suala la mahari kwa Wakristo wanaotoka hizi jamii linakuwa kubwa na tofauti sana na Waislamu wanaotoka jamii hizo hizo?!
Sasa kwa nini unakuta suala la mahari kwa Wakristo wanaotoka hizi jamii linakuwa kubwa na tofauti sana na Waislamu wanaotoka jamii hizo hizo?!
Waislamu wanafata mwongozo wa dini yao. Hawafati utamaduni wa kabila zao. Maana wao wanaamini wao ni sehemu ya muslim ummah hivyo lazima wafate utamaduni wa mtume.. ama kwa lugha nyingine wanafata sunnah za mtume...
Kwa wakristo wengi bado suala la mahari wanalipeleka kimila yaani huona kama chanzo cha mapato ndio maana hutaka dau kubwa ila waislamu wanalipeleka kidini.Sasa kwa nini unakuta suala la mahari kwa Wakristo wanaotoka hizi jamii linakuwa kubwa na tofauti sana na Waislamu wanaotoka jamii hizo hizo?!
Kwa wakristo wengi bado suala la mahari wanalipeleka kimila yaani huona kama chanzo cha mapato ndio maana hutaka dau kubwa ila waislamu wanalipeleka kidini.Sasa kwa nini unakuta suala la mahari kwa Wakristo wanaotoka hizi jamii linakuwa kubwa na tofauti sana na Waislamu wanaotoka jamii hizo hizo?!
Suala la mwanaume kumlipia mahali mwanaume ni kwa mujibu wa sheria za dini ya kihindu, wakristo wenye asili ya kihindi hawana utaratibu huo.Jamii za Wakristo za Africa mahari ni jambo la msingi sana kwao katika mchakato wa kuoa. Mwanaume lazima alipe mahari kwa familia ya mwanamke anapotaka kuoa, mahari yenyewe huwa ni kubwa tu...
Wana maisha yao nje ya Ukristo, hicho ndicho watu huwa wanadhani ndiyo UkristoKwa wakristo wengi bado suala la mahari wanalipeleka kimila yaani huona kama chanzo cha mapato ndio maana hutaka dau kubwa ila waislamu wanalipeleka kidini.