Mahari kwa Wakristo Afrika ni utamaduni wa kimila au wa dini?

Mahari kwa Wakristo Afrika ni utamaduni wa kimila au wa dini?

Kwa wakristo wengi bado suala la mahari wanalipeleka kimila yaani huona kama chanzo cha mapato ndio maana hutaka dau kubwa ila waislamu wanalipeleka kidini.
Unalipeleka kidini wapi wewe unajua utaoa Hadi wanawake war wote utoe mahali hivyo mahali unatoa kidogo kidogo! Bado kuhudumia wanawake war Bora aliyetoa mahali kubwa Kwa mke mmoja. Kimahesabu waislamu ndo huingia gharama kubwa kwenye uoji
 
Dah mada ikienda hivi nafarijika sana hakuna matusi wala kufedhehesha katika dini ya mtu mwengine na elimu kidogo mtu unapata.
 
Hakuna Ndoa ya Kikristo,
Kwa sababu Ukristo hauna sheria za ndoa.
Dini zenye sheria za ndoa ni uislam, Uyahudi na Dini za kiafrika.
Wakristo hawanaga Ndoa.
 
Back
Top Bottom