Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Sawa sanchi tumekuelewa .


Wamawake wanaotakaga maali kubwa ,,huwa wadumu ktk ndoa sababu wazo lake nikuolewa Mara kwamara ili atolewe mahali pia Mara kwa Mara !!.

Nachofurahia nikwamba ,, mwisho wasiku hawaolewagi ,,anakuja kuitaji mwanamme kwa maali ya japo laki tano,,, lkn bado anakosa ,sababu kuu mbili :-
1--- hakuna mwanamme anayependa makomboo yalochacha (kuna makombo yako vizur).
2-- Ngozi inakua ishavuta ( siwez oa Mzee ).

Nakwahuo mwili wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , niwaombee wana JF uzima na afya ,,tukutane wote pamoja baada ya miaka 7 ijayo ..** Sanchoka atakua kweli ni "Saa nishachoka , mwanamme anayetaka mtoto aje nmzalie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..nabado hatutaenda ng'ooooo ..ye ngoja saiz atutese.
Putin Qudadenyering[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa michambo hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ok mm nina shamba langu lmegundulika kuwa na dhahabu hapa GEITA je, yeye km Anakuja na nn kwetu ili na mm nijue hata km natoa hiyo 20m nisione tabu.
 
Putin Qudadenyering[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa michambo hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah sio michembo mkuuu..ndo hali halisi.

Refer....Johar !!!.Sinta.....Wema..!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililoandaliwa na Global Publishers.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.

View attachment 614892

View attachment 614889

View attachment 614890
Shigongo anajua kuwatumia hawa watu !
 
Hivi huyo ni mwanamke au mwanaume?mbona anatisha hivyo.
 
Mwanamke kama huyu anayejipangia mahari yeye badala ya wazazi ni bomu lisilofaaa hata kuwekwa ndani. Kizazi hiki kigumu jamaniiii daah!
 
Back
Top Bottom