Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Putin Qudadenyering[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa michambo hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawa sanchi tumekuelewa .
Wamawake wanaotakaga maali kubwa ,,huwa wadumu ktk ndoa sababu wazo lake nikuolewa Mara kwamara ili atolewe mahali pia Mara kwa Mara !!.
Nachofurahia nikwamba ,, mwisho wasiku hawaolewagi ,,anakuja kuitaji mwanamme kwa maali ya japo laki tano,,, lkn bado anakosa ,sababu kuu mbili :-
1--- hakuna mwanamme anayependa makomboo yalochacha (kuna makombo yako vizur).
2-- Ngozi inakua ishavuta ( siwez oa Mzee ).
Nakwahuo mwili wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , niwaombee wana JF uzima na afya ,,tukutane wote pamoja baada ya miaka 7 ijayo ..** Sanchoka atakua kweli ni "Saa nishachoka , mwanamme anayetaka mtoto aje nmzalie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ..nabado hatutaenda ng'ooooo ..ye ngoja saiz atutese.
Hahahahah sio michembo mkuuu..ndo hali halisi.Putin Qudadenyering[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sio kwa michambo hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shigongo anajua kuwatumia hawa watu !Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililoandaliwa na Global Publishers.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892
View attachment 614889
View attachment 614890
Wamechoka mbayaaa mabibi hata bure huchukui na hawajazaaa aiseee asante MunguHahahahah sio michembo mkuuu..ndo hali halisi.
Refer....Johar !!!.Sinta.....Wema..!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo maana nikasema huyu naye Sanchoka baada ya miaka 7 tayar hamna kituuu... Ngoja ajifanye Wa 20 M.Wamechoka mbayaaa mabibi hata bure huchukui na hawajazaaa aiseee asante Mungu
Wacha tuendelee kukodoaNdo maana nikasema huyu naye Sanchoka baada ya miaka 7 tayar hamna kituuu... Ngoja ajifanye Wa 20 M.
Bora wewe ulijiwahi wanguWacha tuendelee kukodoa
Nipo nawatizama tu walea ujana wakati nikitoka huku mafichoni nawachakaza vibaya wanaishia kushtuka eh tulikuwa wapi hawajazaa na wamezeeka hahahahahaaa waambie wakazanie mazoezi na dietBora wewe ulijiwahi wangu
Ana nyama nyingi.ilaa amejaziaa balaa
ndio maana ya kujaziaa,, uo mzgo inabd ushibe ili upgeAna nyama nyingi.
nikwelii,lkn si habaa msambwanda anaoMaviazi makubwa sana kha ...yamepoteza mvuto
[emoji28] [emoji12]Tunasubili bei ya jioni ndo tununue bidhaa