Mie nimeangalia miguu mkuu...hata hivyo hayupo uchi mkuu maana serikali ilishatoa tamko kuhusu maana ya kukaa uchiAmejaaliwa kukaa uchi?
Hicho ndo kinamuangushaaaHiyo miguu matende??
Beef Lasagna wewe mahari yako ngapi? [emoji6]
Pamoja mkuu Tena kwa umbo Hilo miaka mitatu tu utamchukua kwa mkopo Tena dirisha dogo la usajili!Tunasubili bei ya jioni ndo tununue bidhaa
Yani nimecheka peke yangu hapa mpka nikajictukiaSema kwel? Una no yake ss apo
Nimeolewa kwa mswalaBeef Lasagna wewe mahari yako ngapi? [emoji6]
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
amringie nani hana lolote, mwanamke ni moyoni tu na kichwani basi huko kwingine anakoonyesha kunaweza kuwa bora tu kama akilini na moyoni yuko vizuri kwa maana ya kwamba atatulia, atakuwa na hekima na busara, hatakuwa na tamaa, hatakuwa na tabia ya kuficha chakula akiwaona ndugu wa mume, atakuwa mkarimu na kuvumilia maisha yoyote yale...Huyu dada huwa haringi
ok ngoja nikauze shamba na nyumba ya urithi nichukue huu mzigo,,,Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892
View attachment 614889
View attachment 614890
Na hapa ni moja ya picha yake ya Kikazi zaidi
View attachment 614891
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.
Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.
Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892
View attachment 614889
View attachment 614890
Na hapa ni moja ya picha yake ya Kikazi zaidi
View attachment 614891