Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Huyu dada huwa haringi
amringie nani hana lolote, mwanamke ni moyoni tu na kichwani basi huko kwingine anakoonyesha kunaweza kuwa bora tu kama akilini na moyoni yuko vizuri kwa maana ya kwamba atatulia, atakuwa na hekima na busara, hatakuwa na tamaa, hatakuwa na tabia ya kuficha chakula akiwaona ndugu wa mume, atakuwa mkarimu na kuvumilia maisha yoyote yale...
 
utoe mahari mil 20 halafu awe tope tu si unatema mzigo kabla ya wiki haijaisha
 
Mrembo Jane Rimoy kwa jina maarufu anajulikana Kama Sanchi au Sanchoka anayefanya shughuli za umodel nchini Tanzania , ameweka wazi kwa mwanaume Mwenye nia ya kumuoa mahari yake kwa Sasa ajiandae kutoa million 20.

Mahari yake imepanda ghafla kutoka million 10 mpaka million 20 baada ya kushinda shindano la Ijumaa Figa Bomba Girl 2017 lililo andaliwa
na Global Publisher.

Hizi ni baadhi ya picha akiwa kwenye office ya Global Publisher akisubiri mahojiano baada ya kushinda.
View attachment 614892

View attachment 614889

View attachment 614890

Na hapa ni moja ya picha yake ya Kikazi zaidi
View attachment 614891

ok ngoja nikauze shamba na nyumba ya urithi nichukue huu mzigo,,,
 
Atasuburi sana kupata mume hata 200K hapati

Back
Top Bottom