Mahari ya Sanchi yapanda kutoka million 10 mpaka million 20

Haahaha! Yani huyu nae Kadiri umri unavyozidi kwenda nayeye ndo kwaaanza anazidi kuongeza dau la mahari, hivi hajui kwamba anadepreciate(shuka thamani/ishiwa mvuto n.k.)
 
Akifika 100milioni,niambie[emoji135][emoji135][emoji135]
 
K hainaga kipolo wewe.nani kakwambia INA makombo ile kitu.in Roma's voice K
 
Matuta na ma-stretchmarks kibao, maji maji na inaelekea lina sweat Sana, shida Kama hizo nikutana nazo nalipaga buku tano Kama hutaki weka pesa yangu juu ya meza, sitengenezi pesa Mimi
......khaaah !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…