Mahari yalianzia wapi?, alipewa nani?, kwa idhini ya nani?

Isaka mwana wa Abram alimpenda Rachel, mahari yake aliambiwa atumike miaka saba ili apate mke. Akatumika. Akapewa Dada yake Kwa kuwa kibila hawezi olewa mkubwa akaachwa mdogo. Alipogundua siyo Rachel akagoma. Akaambiwa atumike tena miaka saba mingine ndo ampate mke. Jumla akaitumikia familiya miaka 14 ndo akapewa mke. Je hiyo siyo mahari. Hapo ni kabla ya Christ.

..... Leo nimeenda kanisani, Bible imenikaa.
Umesema vyema bibie, bila kusahau ubavu alioutoa Adamu kumpata Hawa.
MASAHIHISHO KIDOGO:-
Rachel na Lea walikua wake za YAKOBO. na mke wa ISAKA alikua anaitwa Rebeka. Uwe na jumapili njema.
 
Isaka mwana wa Abram alimpenda Rachel, mahari yake aliambiwa atumike miaka saba ili apate mke. Akatumika. Akapewa Dada yake Kwa kuwa kibila hawezi olewa mkubwa akaachwa mdogo. Alipogundua siyo Rachel akagoma. Akaambiwa atumike tena miaka saba mingine ndo ampate mke. Jumla akaitumikia familiya miaka 14 ndo akapewa mke. Je hiyo siyo mahari. Hapo ni kabla ya Christ.

..... Leo nimeenda kanisani, Bible imenikaa.
ni Yakobo Mamndenyi sio Isaka
 
Watu wa Qur'an njooni

Cc: faizafoxy
 
Isaka mwana wa Abram alimpenda Rachel, mahari yake aliambiwa atumike miaka saba ili apate mke. Akatumika. Akapewa Dada yake Kwa kuwa kibila hawezi olewa mkubwa akaachwa mdogo. Alipogundua siyo Rachel akagoma. Akaambiwa atumike tena miaka saba mingine ndo ampate mke. Jumla akaitumikia familiya miaka 14 ndo akapewa mke. Je hiyo siyo mahari. Hapo ni kabla ya Christ.

..... Leo nimeenda kanisani, Bible imenikaa.
Biblia haijakukaa vema, bali story ya biblia imekukaa, Usingeandika Isaka ni Yakobo
 
Isaka mwana wa Abram alimpenda Rachel, mahari yake aliambiwa atumike miaka saba ili apate mke. Akatumika. Akapewa Dada yake Kwa kuwa kibila hawezi olewa mkubwa akaachwa mdogo. Alipogundua siyo Rachel akagoma. Akaambiwa atumike tena miaka saba mingine ndo ampate mke. Jumla akaitumikia familiya miaka 14 ndo akapewa mke. Je hiyo siyo mahari. Hapo ni kabla ya Christ.

..... Leo nimeenda kanisani, Bible imenikaa.
Isaka hakutumikia miaka 7 Bali ni Yakobo mwana Wa Isaka
Leta hoja
 
Back
Top Bottom