Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Mtoa mad una roho ya kwanini...yani nimewapenda maharusi..bibi harusi mrembo sana na amevaa kwa heshima..mwili mzuri simple..na anaonekana hana kiburi na mpole...sijui ww umeona nini cha ajabu hapo...
@@%%!$!%!%!!*!@₩