Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Container jipya limepata parking😂Maharusi wa siku hizi pasua kichwa. Kuna wakati unatazama hizo video unabaki kukuuliza hawa maharusi waliwaza nn? Mtu anamsifia mwenza wake mpaka unaona soo aisee. Bora kunyamaza kuliko kusifia vitu vya uongo
Kaachwa hataki kuachikaMtoa mad una roho ya kwanini...yani nimewapenda maharusi..bibi harusi mrembo sana na amevaa kwa heshima..mwili mzuri simple..na anaonekana hana kiburi na mpole...sijui ww umeona nini cha ajabu hapo...
@@%%!$!%!%!!*!@₩
MwembesongoNaona timu kataa ndoa wamelala wakiamka watatoa msimamo wao.
Location : Mafisa kwa Mambi