Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa:

"Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake."

Wajumbe hao wakisikia moja katika matatu hayo yakitajwa, utu huwatoka wakauvaa uhayawani. Hupumua moto na labda kutoa moshi mithili ya gari la moshi.

Picha hii labda inaweza kuakisi mionekano ya nyuso zao pindi matatu hayo yakitajwa:



Jamani eeh, isiwe taabu tukutane hapa. Kama vipi tuteme nyongo na kufahamiana pia!

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Mbona mnamharibia Balozi Sefue
 
Huyu mpiga debe wa wachina wa bandari ya bagamoyo akae atulie kabisa huyu andunje.
Wapiga kura wa Ndugai wamechanjwa wote? Kwa hiyo hatatembelea jimboni?
 
Huyu mpiga debe wa wachina wa bandari ya bagamoyo akae atulie kabisa huyu andunje.
Wapiga kura wa Ndugai wamechanjwa wote? Kwa hiyo hatatembelea jimboni?

#2 unasomeka vizuri, loud and clear
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine wanapita juu kwa juu (kimya!) wakati uwanja ulikuwa ni huu sasa.

Hiiiiii bagosha!
 
Reactions: Qwy
Mbowe ndie mwenyekiti wa Chadema aliesema Chanjo iwe lazima, kama walikuwa wanamuona Mbowe mjinga kwa huo uamuzi wake, sasa chama chao kimewaambia hawataingia bungeni mpaka wachanjwe, sijui now hasira zao watazigeuzia kwa Samia, au wataendelea kumchukia Mbowe kinafiki.
 

5 + 6 = 11 haijali wajinga wangapi wanasema ni 2.

Hawa jamaa ni janga:

 
Tutaelewana tu.
 
Tutaelewana tu.

Kenya tayari wafanyakazi wa umma ni lazima:


Mdogo mdogo, tutafika tu.
 
Hiyo itaenda mbali zaidi nchini kwetu, hata wanaohudumia watu wengi kwa wakati mmoja lazima wachanjwe wakiwemo makonda/madereva, walimu wa ngazi zote, kubwa zaidi na la muhimu ni wachungaji/maaskofu/manabii/mitume/mashehe...hutoruhusiwa kutoa huduma bila ya kuwa umechanjwa
 

Naipendatz jitihada zako kwenye Corona zimeonekana. Bila shaka yale mawili ya mwanzo ungali ukitokota kwanza.

zandrano na MSAGA SUMU seat ya mbele pale, mwaonekana kuwa ni kigugumizi tu ila nanyi wamo!

Kilinge chetu hiki.

#4 na #5 itapendeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…