Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

CHADEMA kimepoteza Dira, Mbowe ana Kesi ya Kujibu na asiyetaka Kuchanja UVIKO-19 akifa asimlaumu Mtu.
 
Yale mawili nimekerekwa na Mama yangu kuitwa Yebezeli, Jumong, wengine wakataja na viungo vyake siwezi kuvitaja, wengine wakaenda mbali na kumuombea kifo kabla ya mwaka huu haujaisha, ilinishangaza kidogo watu wanasahau vipi tulipotoka just ndani ya miezi minne tu?
 

Kwani umemsikia Mbowe au Chadema wakimwita hivyo kuhalalisha wewe kupumua moto na kutoa moshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…