Nchi hii tunaenda wapi?
Mambo haya ya kupeana mahekalu na magari vipi? Tizama wananchi wengine wanavyoishi, nyumba hawana au baiskeli ndiyo ndoto tu. Hii sharia inaweza kufutwa kabisa ni mbovu. Hawa walikuwa na mawaziri halafu urais hivi kweli hawana numba zingine? Hii sharia inasemaje, ni nyumba kama tenants mpaka mauti au ni nyumba yao kabisa wakifa inaenda kwa watoto wao?
Hawa wabunge wetu wana akili ya mbu na ndiyo maana bunge lilijengwa karibu na Milembe Hospital. Futeni hii sharia jamani. Hizo nyumba na magari na pension zao nene si zingejenge basic housing kwa watu labda million mia mbili au kwa wananchi wote wa Zanzibar.
Kama kweli walikuwa marais wa kututumikia warudishe hizo nyumba. Walikula vya kutosha wakiwa viongozi.

View attachment 1800003View attachment 1800004
View attachment 1799998TAFUTA HELA MZEE ; MWENYE NACHO HUONGEZEWA UTAKUJA KUWA MNYWA KAHAWA NA MPIGA SOGA VIJIWENI HUKU UNATIMULIWA VUMBI.ASILI YA DUNIA NI KUTOKUWA NA USAWA