Mahekalu na magari ya Marais wastaafu yarudishwe serikalini

halafu bado tunawapa mahekalu. Yaani hiyo ni sheria sasa, eti ni haki yao. Watumishi mishahara yao imesota bila kupandishwa. Lakini hela ya magari na mehekalu zipo nyingi tu. Badala ya mahekalu, hawa viongozi wote wangeswekwa Keko jail au Ukonga
πŸ‘πŸ€πŸ‘
 
Hawa wabunge wetu, hawana akili kabisa wanapitisha sheria zilizojaa uozi. Most of these law makers are professors,
Halafu kazi zenyewe wanaomba hawalazimishwi, kwahiyo wanaomba kazi ili kwenda kufaidi kodi za watu wanyonge
 
Wastaafu huwa hawapitishi sheria.
Sheria zinapitishwa na wabunge ambao ndio wananchi.
DAI KATIBA MPYA YENYE USAWA
Si katiba ni sheria iliyopitiswa na a bunge wetu wenye akili ya mbu. Ona sasa badala ya kujadili budget yanatumia muda wote kumsifia Rais. Wao wana simu za serikali, so hawatalipa kodi ya simu. They are crooks!wamachinga wanalipa kodi, wabunge hawalipi kodi yeyote.
 
Nitajie mtoto wa kiongozi wa nchi hii asiye na ajira serikalini au nafasi ya uongozi hapa nchini.

Ngoja tuendelee kumenyeka kulipa Kodi ili wakubwa wapate mishahara yao.
 
Nitajie mtoto wa kiongozi wa nchi hii asiye na ajira serikalini au nafasi ya uongozi hapa nchini.

Ngoja tuendelee kumenyeka kulipa Kodi ili wakubwa wapate mishahara yao.
Hakuna nchi duniani mtoto wa Kiongozi awe anashinda mtaani na njaa. Haipo na haitakuwepo.
 
Matabaka yapo dunia nzima ....gap matajiri masikini dunia nzima tupambane kuziba gap lisiongezeke kila mtu na familia yake kulalama nyuma key board haisaidiiii
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…